WAGOMBEA KOROGWE WALALAMIKA KUNYIMWA FURSA KURUDISHA FOMU

|Mwandishi Wetu, Tanga Baadhi ya wagombea wa upinzani walioshiriki kwenye kinyang’anyiro cha uchaguzi mdogo wa marudio ya ubunge katika jimbo la Korogwe Vijijini, wamelalamikia kitendo cha msimamizi wa uchaguzi huo ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Korogwe Vijijini, Kwame Daftari kwa kushindwa kupokea fomu zao. Wakizungumza na waandishi wa More...

by Mtanzania Digital | Published 10 hours ago
By Mtanzania Digital On Tuesday, August 21st, 2018
Maoni 0

MAVUNDE: WATANZANIA ZINGATIENI TAARIFA ZA HALI YA HEWA

|Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira, Anthony Mavunde amewataka Watanzania kuzingatia taarifa za hali ya hewa na kuzipa uzito ili kuepukana na athari More...

By Mtanzania Digital On Monday, August 20th, 2018
Maoni 0

WAKALA WA USAJILI ZANZIBAR YAFANIKIWA KUHAMASISHA MATUMIZI YA KITAMBULISHO CHA MKAAZI

    |Mwandishi Wetu, Zanzibar Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar, imefanikiwa kuwahamasisha wananchi na taasisi mbalimbali za Serikali na zisizo za Serikali kutumia vitambulisho vya Mzanzibari More...

By Mtanzania Digital On Monday, August 20th, 2018
Maoni 0

WATANZANIA 20 KUSOMEA MASUALA YA GESI CHINA

|Bethsheba Wambura, Dar es Salaam Serikali ya China imetoa ufadhili wa masomo  kwa wanafunzi 20 kwenda kusoma masuala ya gesi na mafuta nchini humo. Akizungumza katika hafla ya kuwaaga wanafunzi hao, Katibu More...

By Mtanzania Digital On Friday, August 17th, 2018
Maoni 0

WATAKAOHUJUMU MIUNDOMBINU YA UMEME, MAJI KUSHTAKIWA KWA UHUJUMU UCHUMI

|Bethsheba Wambura na Elizabeth Joachim, Dar es Salaam Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na Shirika la Umeme (Tanesco), Mamlaka ya Maji na Majitaka Mkoa wa Dar es Salaam (Dawasco) More...

By Mtanzania Digital On Friday, August 17th, 2018
Maoni 0

UTITIRI WA KODI WAWAKWAZA WENYE VIWANDA

  |Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Uongozi wa Kampuni ya Bakhressa (BFPL), umeiomba Serikali kupunguza wingi wa taasisi za udhibiti ubora na kodi kubwa inayotozwa wakati wa uingizaji wa makasha maalumu ya More...

By Mtanzania Digital On Friday, August 17th, 2018
Maoni 0

MADIWANI WANNE CHADEMA WASIMAMISHWA SIHA

|Safina Sarwatt, Siha   Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya siha, limewasimamisha madiwani wanne wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kuhudhuria vikao vya baraza hilo hadi Juni mwaka More...

By Mtanzania Digital On Thursday, August 16th, 2018
Maoni 0

‘WANAWAKE WENGI WANATUMIA NJIA SALAMA YA UZAZI WA MPANGO’

|Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam Imeelezwa kuwa asilimia 32 ya wanawake wanatumia njia ya kisasa ya uzazi wa mpango wakati asilimia sita wanatumia njia ya asili kupanga uzazi. Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa More...

By Mtanzania Digital On Thursday, August 16th, 2018
Maoni 0

UTAFITI: WANAWAKE WANA MCHANGO MKUBWA UKUAJI WA UCHUMI

|Bethsheba Wambura, Dar es Salaam Kituo Cha Haki za Binadam (LHRC), kimefanya utafiti ambao umebainisha kuwa wanawake wana mchango katika ukuaji wa uchumi hasa kupitia katika sekta isiyo rasmi na sekta binafsi. Kwa More...

By Mtanzania Digital On Thursday, August 16th, 2018
Maoni 0

UTAFITI: WAFANYAKAZI WENGI HAWAZIJUI HAKI ZAO

|Leonard Mang’oha, Dar es Salaam Imeelezwa kuwa asilimia 13 ya wafanyakzi pekee ndiyo wanafahamu haki zao mahala pa kazi. Aidha, kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Kituo Cha Sheria na Haki za Binadamu More...