WAFUNDISHE NAMNA YA KUPATA, SIYO KUWAPA BURE!

Na ATHUMANI MOHAMED IMEKUWA kawaida katika familia zetu, mtu fulani kwenye ukoo akiwa na haueni ya maisha au akipata fursa ya kuishi mjini, basi ndugu zake hupenda kwenda mjini kumtembelea. Si jambo baya kwa hakika, maana huzidisha upendo kwa familia na kujenga mshikamano. Kutembelewa na ndugu ni baraka. Lakini leo nataka nizungumzie kuhusu More...

by Mtanzania Digital | Published 5 days ago
By Mtanzania Digital On Monday, March 13th, 2017
Maoni 0

VIJANA NI RASILIMALI MUHIMU KATIKA UTUNZAJI MAZINGIRA NCHINI

Na Raleigh, Tanzania. UHARIBIFU wa mazingira ni suala linalopigwa vita na wadau wote wa mazingira duniani kwani licha ya kuharibu mazingira husababisha maafa na uharibifu wa miundombinu. Yako mazingira More...

By Mtanzania Digital On Saturday, March 11th, 2017
Maoni 0

UNAJISIKIA VIZURI KULA KIYOYOZI, UMEFIKIRIA MWISHO WAKO?

Na ATHUMANI MOHAMED KWA kawaida binadamu hutaka kujisikia vizuri. Ndivyo binadamu walivyoumbwa. Hupenda kufanya mambo yanayofurahisha mioyo zaidi. Hata hivyo katika kusaka mafanikio, kanuni zinasema More...

By Mtanzania Digital On Saturday, March 4th, 2017
Maoni 0

USIKUBALI KUDANGANYIKA KIRAHISI HIVYO! – 2

WAKATI fulani mwaka 2014, nikiwa kwenye semina yangu ya JS Love Talk iliyofanyika Sinza, jijini Dar es Salaam,  dada mmoja alisimama na kuuliza swali. Alikuwa akizungumza kwa uchungu huku akimwaga More...

By Mtanzania Digital On Saturday, February 25th, 2017
Maoni 0

USIKUBALI KUDANGANYIKA KIRAHISI HIVYO!

SAFU yetu ni Love Talk, ambayo hutukutanisha kila Jumamosi na kupeana haya na yale kuhusiana na maisha ya uhusiano na mapenzi. Bila shaka wengi tunajifunza mambo mapya kupitia safu hii. Naweza kusema hapa More...

By Mtanzania Digital On Saturday, February 18th, 2017
Maoni 0

MAMBO 7 MUHIMU YA KUZINGATIA KAZINI – 2

NA ATHUMANI MOHAMED NILIANZA mada hii wiki iliyopita, ambayo kwa hakika ni muhimu sana katika maisha maana ni ukweli usiopingika kuwa sehemu kubwa ya muda wetu, tunatumia kazini. Hii inamaana kuwa, ikiwa More...

By Mtanzania Digital On Saturday, February 18th, 2017
Maoni 0

ALI KIBA KURUDISHIWA TUZO ALIYOSTAHILI TUMEJIFUNZA NINI?

NA CHRISTOPHER MSEKENA NOVEMBA mwaka jana ni mwezi ambao hauwezi kusahaulika katika historia ya muziki wa Bongo Fleva kupenya kimataifa. Hii ndiyo ile siku ambayo uongozi wa tuzo za MTV EURO ulitangaza More...

By Mtanzania Digital On Saturday, February 18th, 2017
Maoni 0

NCHI 13 ZAKUBALIANA KUBORESHA ELIMU

Na PATRICIA KIMELEMETA NCHI 13 za Afrika zikiwamo za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), zimekubaliana kuboresha sekta ya elimu katika nyanja mbalimbali ikiwamo kuweka mifumo bora ya utoaji wa elimu na kutatua More...

By Mtanzania Digital On Friday, February 17th, 2017
Maoni 0

SABABU YA VYUO VYA KITAFITI KUTAMBA ORODHA YA VYUO VIKUU

Na MWANDISHI WETU, KATIKA orodha nyingi za vyuo vikuu bora duniani, nafasi 10 au 20 za juu mara nyingi hung’ang’aniwa na taasisi maarufu za kisayansi za Marekani na Uingereza. Hizo ni pamoja More...

By Mtanzania Digital On Thursday, February 16th, 2017
Maoni 0

ELIMU YA UKIMWI YATOLEWA KWA MAKUNDI MAALUM

Na SAMWEL MWANGA HALMASHAURI ya Wilaya ya Maswa   imeanza kutoa elimu ya kujikinga na maambukizi mapya ya Ukimwi kwa vijana   katika makundi maalum katika maeneo ya kazi. Hayo yamefanyika More...