WABUNGE WAPITISHA BAJETI YA ARDHI, MBOWE AMSIFU LUKUVI

MAREGESI PAUL NA RAMADHAN HASSAN -DODOMA WABUNGE wamepitisha Bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa mwaka wa fedha 2017/18, huku Waziri wa Wizara hiyo, William Lukuvi, akizitaka  Halmashauri zote zisiruhusu watu kujenga katika maeneo ambayo hayajapimwa. Pia wabunge wa upinzani, wakiongozwa na Msemaji wa Kambi More...

by Mtanzania Digital | Published 1 min ago
By Mtanzania Digital On Sunday, May 21st, 2017
Maoni 0

KILIMO CHAWATIA HOFU WABUNGE

    Na MAREGESI PAUL-DODOMA BAADHI ya wabunge wameonyesha hofu juu ya ukuaji wa sekta ya kilimo nchini. Hofu hiyo waliionyesha jana wakati walipochangia makadirio ya bajeti ya Wizara More...

By Mtanzania Digital On Sunday, May 21st, 2017
Maoni 0

MDEE AWATIBUA WABUNGE CCM

Mbunge wa Kawe, Halima Mdee, akichangia bajeti ya Wizara ya Maji na Umwagiliaji bungeni Dodoma .PICHA: DEUS MHAGALE   Na MAREGESI PAUL -DODOMA MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee (Chadema), amewatibua wabunge More...

By Mtanzania Digital On Sunday, May 21st, 2017
Maoni 0

NAPE,KITWANGA WAGEUKA

Na Mwandishi Wetu, MAWAZIRI wa zamani, Nape Nnauye na Charles Kitwanga, wamegeuka kuwa mwiba kwa kutoa hoja za kukosoa utendaji wa Serikali ya Rais Dk. John Magufuli. Mwenendo wa makada hao wa Chama More...

By Mtanzania Digital On Saturday, May 20th, 2017
Maoni 0

BAJETI YA KILIMO PASUA KICHWA

Na MAREGESI PAUL-DODOMA WAKATI hali ya chakula ikiripotiwa kutokuwa nzuri nchini, Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dk. Charles Tizeba, amewasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya bajeti yake, ikionyesha More...

By Mtanzania Digital On Friday, May 19th, 2017
Maoni 0

WABUNGE WAPINGA KITANZI CHA KODI KWA WAWEKEZAJI

Na MAREGESI PAUL-DODOMA BAADHI ya wabunge, wamesema mazingira ya uwekezaji nchini, siyo mazuri kwa wawekezaji kutokana na kodi wanazotozwa. Kutokana na hali hyo, wamesema Serikali inatakiwa kuangalia More...

By Mtanzania Digital On Thursday, May 18th, 2017
Maoni 0

TANZANIA YA VIWANDA MJADALA MZITO

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage, akisoma hotuba ya bajeti ya wizara yake bungeni Dodoma jana.     Na MAREGESI PAUL -DODOMA KAULI ya Serikali ya kuifanya Tanzania More...

By Mtanzania Digital On Monday, May 15th, 2017
Maoni 0

MBUNGE :TUNAGEUZWA ATM

MAREGESI PAUL Na RAMADHAN HASSAN -DODOMA MBUNGE wa Ukonga, Mwita Waitara (Chadema), amesema wananchi wamewageuza wabunge wa Tanzania na kuwa kama mashine za kutolea fedha (ATM) na Vyama vya Kuweka More...

By Mtanzania Digital On Sunday, May 14th, 2017
Maoni 0

SERIKALI, KAMATI YA BAJETI KUJADILI ONGEZEKO BEI YA PETROLI

Na MAREGESI PAUL-DODOMA SERIKALI imekubali kukutana na Kamati ya Bunge ya Bajeti ili kuangalia jinsi ya kuongeza Sh 50 katika bei ya petroli na dizeli ili zipatikane fedha za kutekeleza miradi ya maji nchini. Makubaliano More...

By Mtanzania Digital On Sunday, May 14th, 2017
Maoni 0

LWENGE AMTAKA KITWANGA AHAME CCM

Mbunge wa Misungwi, Charles Kitwanga (CCM)     Na MAREGESI PAUL-DODOMA WAZIRI wa Maji na Umwagiliaji, Gerson Lwenge, amesema kauli ya Mbunge wa Misungwi, Charles Kitwanga (CCM), aliyoitoa bungeni More...