CODEINE: DAWA TAMU YA KUTIBU KIFUA ILIYOGEUZWA ‘COCAINE’

KATIKA majiji kadhaa makubwa ya Nigeria, vijana wengi wadogo wameathirika na dawa haramu za kulevya. Lakini katika miaka ya karibuni, aina ya dawa jamii ya Opioid kwa ajili ya kutibu kifua au kikohozi iyoitwa Codeine ndiyo mchawi mkubwa. Kupitia kipindi kilichopewa jina la ‘In Sweet Sweet Codeine,’ waandishi wa Shirika la Utangazaji la Uingereza More...

by Mtanzania Digital | Published 2 weeks ago
By Mtanzania Digital On Thursday, May 10th, 2018
Maoni 0

UNAWEZA KUACHA SIGARA KWA KUTUMIA DAWA ZENYE NICOTINE

TUMBAKU ni moja ya mimea ambayo hapa nchini na katika mataifa mengine duniani, hutumika kama zao la biashara linaloongeza kipato. Zao hili hutumika kutengeneza sigara ambazo zimekuwa zikitumika kama kiburudisho More...

By Mtanzania Digital On Thursday, May 10th, 2018
Maoni 0

MADEREVA HUWA WANAHAMA NA VVU, KUPELEKA KWENYE NDOA

Na LEONARD MANG’OHA UTAFITI wa kitaifa wa viashiria na matokeo ya Ukimwi nchini wa mwaka 2016/2017 uliolenga kujua hali ya maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) kitaifa unaonesha kuwa watu 81,000 wenye umri More...

By Mtanzania Digital On Wednesday, May 9th, 2018
Maoni 0

WAZIRI: KASI YA KUDHIBITI UKIMWI HAINIRIDHISHI

Ramadhan Hassan, Dodoma Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ameagiza nusu ya vituo 3,400 vinavyotoa huduma ya kupima Virusi Vya Ukimwi (VVU) kwa wajawazito kutumika kupima More...

By Mtanzania Digital On Wednesday, May 9th, 2018
Maoni 0

MLOGANZILA KUCHUJA DAMU WAGONJWA WA FIGO

Na Veronica Romwald-Dar es Salaam | SERIKALI imeongeza kituo kipya cha huduma ya uchujaji damu (dialysis) kwa wagonjwa wa figo katika Hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, May 8th, 2018
Maoni 0

MLOGANZILA YAZINDUA KITENGO CHA KUCHUJA DAMU

Veronica Romwald, Dar es Salaam Hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili, Kampasi ya Mloganzila imezindua rasmi kitengo cha huduma ya uchujaji damu (dialysis) kwa wagonjwa More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, May 8th, 2018
Maoni 0

DAMU YADAIWA KUUZWA HOSPITALI YA HAYDOM

Na MWANDISHI WETU- MANYARA | BAADHI ya wafanyakazi wa Hopitali ya Haydom mkoani Manyara, wamelalamikiwa kwa kuwauzia damu wagonjwa wanaokwenda kwa ajili ya matibabu. Hospitali ya Haydom inamilikiwa na Kanisa More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, May 8th, 2018
Maoni 0

BWANA HARUSI ALIYEKIMBIWA ADAI MAHARI YAKE

Na ASHA BANI-DAR ES SALAAM | BWANA harusi aliyekimbiwa na bibi harusi, Omary Mohamed, amesema baada ya tukio hilo amelazimika kudai fedha zake za mahari ili aweze kuendelea na maisha yake. Akizungumza na MTANZANIA More...

By Mtanzania Digital On Thursday, May 3rd, 2018
Maoni 0

UHABA WA WAKUNGA DUNIANI KUFIKIA MILIONI 14 AFRIKA 2030

Veronica Romwald, Dar es Salaam Mabara ya Asia na Afrika yatakabiliwa na uhaba mkubwa wa wakunga wataalamu ifikapo 2030 ikiwa hatua za makusudi hazitachukuliwa, imeelezwa. Uhaba uliopo sasa ni kiwango cha milioni More...

By Mtanzania Digital On Thursday, May 3rd, 2018
Maoni 0

PICHA HIZI ZAZUA BALAA BUNGENI

Gabriel Mushi, Dodoma Picha za Mbunge wa Ulanga, Goodluck Mlinga (CCM) na Mkuu wa Wilaya ya Kibaha, Asumpter Mshana zikiwaonyesha wanawachoma chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi wasichana, zimezua mjadala mzito More...