By Mtanzania Digital On Tuesday, May 22nd, 2018
Maoni 0

GHASIA ATAKA TOZO ZA HUDUMA ZIACHIWE HALMASHAURI

Hadija Omary, Mtwara Mbunge wa Mtwara Vijijini, Hawa Ghasia ameiomba serikali kusitisha mpango wake wa kutaka kukusanya tozo ya huduma kupitia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na badala yake waziache kwenye halmashauri More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, May 22nd, 2018
Maoni 0

NAPE MTAKA DK. KILANGI KUISAIDIA SERIKALI KUFUATA SHERIA

Maregesi Paul, Dodoma Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maliasili na Utalii, Nape Nnauye amemtaka Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuisaidia serikali kufanya kazi kwa kufuata sheria. Nape ambaye pia ni Mbunge More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, May 22nd, 2018
Maoni 0

HECHE AIWAKIA SERIKALI UWEKAJI VIGINGI VIJIJINI

Maregesi Paul, Dodoma Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche (Chadema), ameionya serikali kama haitasitisha uwekaji wa vigingi katika maeneo ya vijiji vinavyopakana na hifadhi inaweza kusababisha machafuko wilayani More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, May 22nd, 2018
Maoni 0

UCHUNGUZI MALI ZA CHAMA:VIGOGO CCM MATUMBO JOTO

Na MWANDISHI WETU-DAR ES SALAAM RIPOTI ya kuchunguza mali za Chama Cha Mapinduzi (CCM), imebaini upotevu mkubwa wa mali uliosababishwa na mikataba mibaya, ubadhirifu, wizi, usimamizi mbaya, utapeli na ukosefu More...

By Mtanzania Digital On Monday, May 21st, 2018
Maoni 0

TUME YABAINI MADUDU MALI ZA CCM

Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Tume ya kuhakiki mali za Chama Cha Mapinduzi (CCM), iliyoundwa na Rais John Magufuli, imebaini madudu ukiwamo utapeli na usimamizi mbaya wa mali hizo. Kamati hiyo iliyoundwa na Rais More...

By Mtanzania Digital On Monday, May 21st, 2018
Maoni 0

WATAKAOHUJUMU MIUNDOMBINU TANESCO KUKIONA

Hadija Omary, Lindi Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka Watanzania kuilinda na kuitunza miundombinu ya Shirika la Umeme nchini (Tanesco), huku akiagiza mamlaka husika kuwashughulikia watakaojihusisha na uharibifu More...

By Mtanzania Digital On Monday, May 21st, 2018
Maoni 0

ZITTO AHOJI UHALALI WA MKUCHIKA KUKAIMU UWAZIRI MKUU

Maregesi Paul, Dodoma   Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amehoji ni kwanini Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utumishi, George Mkuchika akaimu nafasi ya Waziri Mkuu bungeni wakati kanuni za bunge haziruhusu. Amesema More...

By Mtanzania Digital On Monday, May 21st, 2018
Maoni 0

MSIGWA AMTAKA DK. KIGWANGALA KUTOA USHAHIDI WA UFISADI WAKE

Maregesi Paul, Dodoma Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa amemtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, atoe ushahidi bungeni juu ya ufosadi wake pamoja na aliyekuwa waziri wa wizara hiyo Lazaro Nyalandu. Msigwa More...

By Mtanzania Digital On Monday, May 21st, 2018
Maoni 0

KAMATI YAISHAURI BAJETI KUBWA ZA WIZARA

Maregesi Paul, Dodoma Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, imeitaka serikali isiwe inatenga bajeti kubwa za wizara wakati haina uwezo wa kupeleka katika wizara fedha zote zinazopitishwa na More...

By Mtanzania Digital On Monday, May 21st, 2018
Maoni 0

MWANZO MWISHO SUGU ALIVYOTINGA BUNGENI NA BEJI YA MFUNGWA

Ramadhan Hassan, Dodoma Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu (Chadema), ametinga bungeni kwa mara ya kwanza tangu atoke jela kwa msamaha wa Rais John Magufuli huku akisimamisha shughuli za Bunge More...