By Mtanzania Digital On Thursday, May 24th, 2018
Maoni 0

MTOTO WA MIAKA SABA AUMWA NA MBWA WANNE

Na SARAH MOSES-DODOMA MTOTO Akisa Wilsoni (7), mkazi wa Mtaa wa Ilazo Kata ya Ipagala jijini Dodoma, amenusurika kifo baada ya kung’atwa na mbwa wanne sehemu mbalimbali za mwili wake na kumsababishia majeraha. Akizungumza More...

By Mtanzania Digital On Thursday, May 24th, 2018
Maoni 0

PROFESA NDULU ATWAA TUZO YA GAVANA BORA AFRIKA

Na MWANDISHI WETU-DAR ES SALAAM GAVANA mstaafu wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndulu, ametunukiwa tuzo ya mwaka 2018 ya gavana bora barani Afrika na jarida maarufu la African Banker. Sherehe za kutoa More...

By Mtanzania Digital On Thursday, May 24th, 2018
Maoni 0

WATUMISHI MANISPAA MOROGORO MBARONI KWA RUSHWA

Na LILIAN JUSTICE-MOROGORO TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Morogoro (Takukuru), imewapandisha kizimbani watuhumiwa wawili wa Serikali kwa makosa ya kujihusisha na vitendo vya rushwa na uhujumu More...

By Mtanzania Digital On Thursday, May 24th, 2018
Maoni 0

OFISA ITIFAKI KORTINI KWA KUMSHAMBULIA MWANDISHI

Na JANETH MUSHI-ARUSHA OFISA Itifaki katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Swalehe Mwidadi (32) na mfanyakazi wa Masijala katika ofisi hiyo, Amina Mshana (29), wamefikishwa mahakamani wakikabiliwa na mashitaka More...

By Mtanzania Digital On Thursday, May 24th, 2018
Maoni 0

UHUSIANO NA ISRAEL WAIBUA MJADALA BUNGENI

Na MAREGESI PAUL-DODOMA WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Balozi Augustine Mahiga, ameeleza sababu za Tanzania kuendeleza ushirikiano na taifa la Israel, huku Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, May 22nd, 2018
Maoni 0

LEGEND AFUNGUKA JINA MILES THEODORE

LOS ANGELES, MAREKANI MWANAMUZIKI wa Marekani, John Legend, ameeleza maana ya jina la mwanawe wa pili, Miles Theodore Stephens kuwa linawakilisha mwanamuziki nguli, Miles Davis. Hatua hiyo inakuja siku chache, More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, May 22nd, 2018
Maoni 0

BEYONCE ANUNUA KANISA MAREKANI

NEW YORK, MAREKANI MWANAMUZIKI wa Marekani, Beyonce Knowles, amekuwa mmiliki mpya wa Kanisa la New Orleans Church, ambalo lina umri wa zaidi ya miaka 100. Beyonce alinunua kanisa hilo ambalo lilikuwa likinadiwa More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, May 22nd, 2018
Maoni 0

MADURO ASHINDA UCHAGUZI, WAPINZANI WATAKA URUDIWE

CARACAS, VENEZUELA TUME ya Uchaguzi ya Venezuela, imemtangaza Rais Nicolas Maduro kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika juzi, ambao upinzani unataka urudiwe. Akiwahutubia maelfu ya wafuasi wake nje ya More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, May 22nd, 2018
Maoni 0

VITA VYA BIASHARA MAREKANI, CHINA VYASITISHWA

BEIJING, CHINA VITA vya kibiashara kati ya Marekani na China ‘vimesitishwa kwa muda’ baada ya nchi hizi mbili zenye uchumi mkubwa duniani kukubaliana kuondoa vitisho vya ushuru baina yao. Haya yanakuja wakati More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, May 22nd, 2018
Maoni 0

WABUNGE WATAKA MABILIONEA WA URUSI WATIMULIWE UINGEREZA

LONDON, UINGEREZA SIKU moja tu baada ya kufichuka kuwa bilionea na mmiliki wa Klabu ya Chelsea ya hapa, Roman Abramovich, amekwama Urusi baada ya Uingereza kushindwa kufufua viza yake, wabunge wametaka mabilionea More...