By Mtanzania Digital On Thursday, August 3rd, 2017
Maoni 0

AGIZO LA JPM LAKWAMISHWA

Na Waandishi Wetu, DAR/Mikoani AGIZO la Rais Dk. John Magufuli kuwataka wamiliki wa vituo vya mafuta nchini kuhakikisha ifikapo Julai 31, mwaka huu wawe wamefunga mashine za kukusanya kodi kwa kutumia mfumo wa More...

By Mtanzania Digital On Friday, July 28th, 2017
Maoni 0

MOURINHO: POGBA NI SAWA NA MESSI, NEYMAR

WASHINGTON DC, MAREKANI KOCHA wa klabu ya Manchester United, Jose Mourinho, ameweka wazi kuwa, uwezo wa kiungo wake, Paul Pogba, unafaa kufananishwa na mastaa wa klabu ya Barcelona, Lionel Messi na Neymar. (adsbygoogle More...

By Mtanzania Digital On Friday, July 28th, 2017
Maoni 0

DJOKOVIC AJITOA KUSHIRIKI TENISI 2017

BELGRADE, SERBIA (adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); BINGWA namba nne kwa ubora wa mchezo wa tenisi duniani, Novak Djokovic, ametangaza kujitoa kwenye michuano mbalimbali msimu huu kutokana More...

By Mtanzania Digital On Friday, July 28th, 2017
Maoni 0

BUFFON: MSIMU UJAO NITASTAAFU SOKA

 TURIN, ITALIA MLINDA mlango namba moja wa klabu ya Juventus na timu ya Taifa ya Italia, Gianluigi Buffon, amesisitiza kuwa msimu ujao lazima astaafu soka, hata kama klabu yake itafanikiwa kutwaa taji la Ligi More...

By Mtanzania Digital On Friday, July 28th, 2017
Maoni 0

NDEMLA KUMFUATA ULIMWENGU WIKI IJAYO

NA JESSCA NANGAWE DILI la kiungo mahiri wa Simba, Said Ndemla, kwenda kucheza soka la kulipwa Sweden limefikia hatua nzuri, ambapo anatarajia kusafiri nchini humo wiki ijayo. Tayari klabu ya Simba imempa baraka More...

By Mtanzania Digital On Friday, July 28th, 2017
Maoni 0

LWANDAMINA KUMPIMA MEXIME AGOSTI 12

NA JESSCA NANGAWE KIKOSI cha Kagera Sugar kinatarajia kushuka dimbani Agosti 12, kuumana na Yanga, katika mchezo wa kirafiki utakaopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Kikosi cha Kagera Sugar kwa sasa More...

By Mtanzania Digital On Friday, July 28th, 2017
Maoni 0

JOKATE KUPAMBA LIGI YA VIJANA KIKAPU

Na SHARIFA MMASI-DAR ES SALAAM BALOZI wa mpira wa kikapu Tanzania, Jokate Mwegelo, kesho anatarajiwa kushuhudia mchezo wa Ligi ya Vijana (U-16), kati ya Don Bosco dhidi ya Msasani, utakaopigwa kwenye Uwanja wa More...

By Mtanzania Digital On Friday, July 28th, 2017
Maoni 0

‘SHETANI HANA HURUMA’ ANUSURIKA KWENDA JELA

Na KAMILIKE MMBANDO-DODOMA MTUHUMIWA Boniface Malyango, maarufu kwa jina la Shetani Hana Huruma, amenusurika kifungo kingine cha miaka 32 jela, baada ya kukosekana ushahidi wa kumtia hatiani katika makosa matatu More...

By Mtanzania Digital On Friday, July 28th, 2017
Maoni 0

MMILIKI LUCK VINCENT KUSOMEWA MASHTAKA YA AWALI

Na JANETH MUSHI-ARUSHA MAHAKAMA ya Wilaya ya Arumeru, Mkoa wa Arusha, inatarajia kuwasomea hoja za awali watuhumiwa wawili, akiwamo mmiliki wa Shule ya Lucky Vincent ya jijini Arusha, Innocent Mushi. Watuhumiwa More...

By Mtanzania Digital On Friday, July 28th, 2017
Maoni 0

DK. NAGU: SIKUKAMATWA, NILIHOJIWA POLISI

Na MWANDISHI WETU MBUNGE wa Hanan’g, Dk. Mary Nagu (CCM), amesema hajawahi kukamatwa na kuwekwa chini ya ulinzi wa polisi kwa agizo la Mkuu wa Wilaya ya Hanan’g, Sarah Msafiri. Dk. Nagu, ametoa ufafanuzi huo More...

Translate »