Magufuli atangaza kugombea urais

John-Magufuli

Na Mwandishi Wetu, Dodoma WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, ametangaza rasmi kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Amesema kwa kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza rasmi kwa wanachama More...

by france | Posted 6 mins ago

‘Nchi hivi sasa inayumba’

JOSEPH SINDE WARIOBA (TUME YA KATIBA TANZANIA)

Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam VIONGOZI wastaafu na wasomi nchini wamesema hivi sasa taifa linakabiliwa na viashiria vya uvunjivu wa amani hali inayosababisha nchi kuyumba. Kutokana More...

Moto majimbo mpya

Veronica Romwald na Shabani Matutu, Dar es Salaam MVUTANO mpya unarajiwa kuibuka katika ugawaji wa majimbo mapya kati ya vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) More...

Mafuriko ni vilio Dar

Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam WATU wanane wamefariki dunia kutokana na mafuriko ya mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam. Akitoa taarifa ya vifo hivyo Dar es Salaam More...

Polisi wagoma kuchangia mafuta kusafirisha mwili wa mwenzao

Na Ahmed Makongo, Bunda POLISI wilayani Bunda, mkoani Mara, wanadaiwa kugoma kuchangia fedha za mafuta kwa ajili ya kusafirisha mwili wa askari mwenzao, Koplo Mahamudu Magasa, More...

Mtoto wa miaka 13 ajinyonga baada kukutwa na barua ya mapenzi

NA TWALAD SALUM, MISUNGWI MWANAFUNZI wa darasa la saba wa Shule ya Msingi Mwagiligili, iliyopo Misungwi, mkoani Mwanza, Rahel Emmanuel (13), amekutwa amekufa baada ya kujinyonga More...

CUF-Maalim Seif asiachiwe urais mwenyewe

seif

NA MWANDISHI WETU, ZANZIBAR CHAMA cha Wananchi (CUF), kimewataka wanachama wake wenye sifa za kugombea nafasi ya urais wa More...

Shaba, Kipanga, Chuoni hatihati Ligi Kuu

NA IS-HAKA OMAR, ZANZIBAR LIGI Kuu ya Zanzibar inatarajia kumalizika Juni 3, mwaka huu, huku timu za Shaba, Kipanga, More...

hans_clip Pluijm ashtuka Yanga

JENNIFER ULLEMBO NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM WAKATI klabu ya Yanga ikiendelea kusajili nyota wake...

Yanga yateka usajili

NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM TIMU ya Yanga imeendelea kuteka soko la usajili nchini, baada...

Usajili Yanga wazidi kutikisa

NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM USAJILI mpya wa mabingwa wapya wa Ligi Kuu Tanzania Bara,...

Burundi yakabiliwa na njaa

Pierre-Nkurunziza

Na Mwandishi Wetu, Bujumbura HALI ya njaa imeikumba Burundi hasa katika mji mkuu wa Bujumbura baada ya wasafirishaji More...

Al Shabaab waua polisi 25 Kenya

NAIROBI, KENYA KUNDI la wana mgambo wa Al Shabaab la Somalia, linadaiwa kuwaua polisi 25 wa Kenya jana. Inaelezwa kuwa wanamgambo..

Nkurunziza aahirisha uchaguzi wa wabunge

Bujumbura, BURUNDI RAIS wa Burundi, Pierre Nkurunziza ameahirisha uchaguzi wa wabunge uliokuwa ufanyike Jumanne wiki ijayo kwa siku 10, bila kugusia..

Ukawa wamshika pabaya Magufuli

Arodia Peter na Khamis Mkotya, Dodoma UMOJA wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) ‘umemshika pabaya’ Waziri wa Ujenzi, More...

Wizi TTCL unatisha

Arodia Peter na Khamis Mkotya, Dodoma UOZO na ufisadi ulioigubika Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) uliwekwa hadharani bungeni mjini Dodoma jana...

Wizara ya Kazi yanyimwa fedha za maendeleo

Na Arodia Peter, Dodoma WIZARA ya Kazi na Ajira haikutekelezea mradi wowote wa maendeleo kwa mwaka wa 2014/2015 kutokana na Hazina..

Ikulu: Ripoti ya Tokomeza, Escrow hazitatolewa

sefue Na Fredy Azzah, Dar es Salaam KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, amesema ripoti za uchunguzi ya Operesheni Tokomeza na suala..

Magufuli atangaza kugombea urais

John-Magufuli Na Mwandishi Wetu, Dodoma WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, ametangaza rasmi kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Amesema..
Kuanzia kushoto; Jonny Biggins, Steve Hanson na Jason Bramley walivaa mimba bandia kwa mwezi mmoja

Wanaume wabeba matumbo bandia kuonja uchungu wa kujifungua.

BAADA ya kuhangaika nayo tumboni kwa miezi tisa, hatimaye siku ya siku imefika kwa mtoto mtarajiwa kukaribia kuzaliwa. Baada ya kero,..
Odama

Odama: Naogopa msaada wa masharti

Na Rhobi Chacha MWIGIZAJI mwenye mvuto katika filamu za Bongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’, amesema anaogopa marafiki wa kiume kwa kuwa huwa..
Kuanzia kushoto; Jonny Biggins, Steve Hanson na Jason Bramley walivaa mimba bandia kwa mwezi mmoja

Wanaume wabeba matumbo bandia kuonja uchungu wa kujifungua.

BAADA ya kuhangaika nayo tumboni kwa miezi tisa, hatimaye siku ya siku imefika kwa mtoto mtarajiwa kukaribia kuzaliwa. Baada ya kero,..