Escro Pasua Kichwa

proftibaijuka

Elizabeth Mjatta na Aziza Masoud,Dar es Salaam KAULI ya Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Profesa Anna Tibaijuka kwamba hatojiuzulu na kwamba yeye na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter More...

by france | Posted 2 siku tangu habari iwekwe

Wauaji wa Ubungo wahukumiwa kunyongwa • Ni wale waliohusishwa na uporaji wa fedha za NMB

Jaji Mkuu Othman Chande

Jaji Mkuu Othman Chande Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam, Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetoa hukumu ya kunyongwa hadi kufa kwa washtakiwa sita katika kesi ya mauaji ya askari More...

Chadema wawaganda Pinda, Ghasia

tz

    NA GRACE SHITUNDU, DAR ES SALAAM, KAMATI Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) imetaka Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri More...

Rais Kikwete kuhutubia taifa leo

kk

  Na Michael Sarungi, Dar es Salaam RAIS Jakaya Kikwete, leo anatarajiwa kuhutubia taifa kupitia wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam. Katika mkutano wake huo utakaofanyika katika More...

Jiji la Mwanza

Mafutiko yatikisa Mwanza

Jiji la Mwanza BENJAMIN MASESE NA ABUBAKARI AKIDA, MWANZA MVUA kubwa inayoendelea kunyesha mkoani Mwanza, imesababisha maafa makubwa yakiwamo ya watu kukosa sehemu za kujihifadhi, More...

Polisi Kagera wasambaratisha wafuasi wa Mdee kwa mabomu

Halima Mdee Na Mwandishi Wetu, Kyerwa JESHI la Polisi Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera limetumia mabomu ya machozi kutawanya wananchi waliojitokeza kumpokea Mwenyekiti wa Taifa More...

Abood Jumbe hali tete, alazwa

VERONICA ROMWALD NA MICHAEL SARUNGI, DAR ES SALAAM RAIS mstaafu wa awamu ya pili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Abood More...

AG Z’bar ‘Out’

Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Othman Masoud Othman

Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Othman Masoud Othman Na Mwandishi Wetu, Dar es More...

Marcio Maximo Yanga yampa mkono wa kwaheri Maximo

MWENYEKITI wa Klabu ya Yanga, Yusufu Manji, amempa mkono wa kwaheri aliyekuwa Kocha Mkuu wa timu...

??????????????????????????????? Maximo: Nawaangalia tu Yanga

NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM, IKIWA ni siku tano sasa zimepita tangu Yanga kutangaza kuachana na...

Kocha mpya wa Simba, Patrick Phiri Phiri awafungia kazi kina Sserunkuma

    NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM, KOCHA Mkuu wa timu ya Simba, Patrick Phiri...

Dany Kidega awa Spika EALA

Margaret-Zziwa

Na Elizabeth Mjatta MBUNGE wa Chama cha National Resistance Movement (NRM) cha Uganda, Dany Kidega amechaguliwa More...

Spika wa Bunge EALA ang’olewa

NA ABRAHAM GWANDU, ARUSHA, SPIKA wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Margreth Zziwa, jana ameng’olewa kushika wadhifa huo baada ya wabunge..

Al-Shabaab wafanya mauaji ya kutisha Kenya

MANDELA, Kenya MAUAJI ya kutisha yameendelea kutikisa nchini Kenya baada ya jana asubuhi kundi la wanamgambo la Al-Shabaab kuua watu 36..

Escrow yazamisha watatu urais 2015

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Na Mwandisi Wetu KASHFA ya uchotwaji wa zaidi More...

… Waziri wa JK adaiwa kuiba ripoti ya CAG

Na Bakari Kimwanga, Dodoma JOTO la kashfa ya wizi wa Sh bilioni 306 katika Akaunti ya Tegeta Escrow iliyokuwa imefunguliwa Benki..

Hatima madeni ya Serikali kutikisa Bunge

Na Bakari Kimwanga, Dodoma MJADALA kuhusu azimio la kuliomba liidhinishe kufutwa au kusamehe hasara na madeni yaliyotokana na upotevu wa mali..

Singasinga aivimbia Serikali

Seith Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam WAKATI ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), ikionyesha Kampuni ya..

Ghasia: Nipo tayari kuwajibika

Hawa Ghasia NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM, WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI),..
Zitto Kabwe

Zitto atwaa tuzo utetezi haki hifadhi ya jamii

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema), ameibuka mwanasiasa wa kwanza barani Afrika kwa kutwaa..

Jaydee amtosa Gardner

Na Waandishi Wetu MTANGAZAJI maarufu wa redio, Gardner G. Habash kwa mara ya kwanza amefichua ukweli wa makubaliano waliyofikia na mwanamuziki..
Zitto Kabwe

Zitto atwaa tuzo utetezi haki hifadhi ya jamii

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema), ameibuka mwanasiasa wa kwanza barani Afrika kwa kutwaa..