Maswali magumu kifo cha polisi

mwee

NA WAANDISHI WETU,DAR, KITETO KUUAWA kwa aliyekuwa Kamanda wa Kikosi Maalum cha Kupambana na Uhalifu, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Thomas Muniko anayedaiwa kupigwa risasi na majambazi eneo la Vikindu, More...

by William Hezron | Posted 8 hours ago

DataVision yategua fumbo utunzaji taarifa

Teddy Qirtu

Teddy Qirtu Na Mwandishi Wetu, Pwani KAMPUNI ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) ya DataVision International (DVI) wiki iliyopita, iliendesha semina kwa baadhi ya waumini More...

Mgeja ataka Jaji Mutungi, Dk. Mwakyembe wajiuzulu

Dk. Harrison Mwakyembe

Dk. Harrison Mwakyembe NA TUNU NASSOR, DAR ES SALAAM MWENYEKITI wa Tanzania Mzalendo Foundation, Hamisi  Mgeja amemtaka Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Harrison Mwakyembe, More...

Lipumba, Sakaya wafukuzwa CUF

Profesa Ibrahim Lipumba

Profesa Ibrahim Lipumba Na Kulwa Karedia, HATIMAYE Baraza Kuu la Uongozi la Chama cha Wananchi (CUF) limemvua uanachama aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Ibrahim Lipumba More...

Ofisa wa Serikali kizimbani kwa udanganyifu

NA MURUWA THOMAS, NZEGA OFISA Utumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda mkoani Mara, Alloys Andew Kwezi, amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu. Akisomewa More...

Jipu jipya la watumishi hewa

NA JUDITH NYANGE, MWANZA MKOA wa Mwanza umebaini uwepo wa watumishi hewa wapya 1,057 baada ya kurejea kwa zoezi la uhakiki. Watumishi hao hewa wamelipwa jumla ya Sh bilioni 2.2 More...

Maalim Seif agoma kumpa mkono Dk. Shein

ZIFF chief guest, 1st vice president, Maalim Seif Sharif at ZIFF 2013

Maalim Seif Sharif Hamad Na MWANDISHI WETU, ZANZIBAR KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amekataa More...

Zantel, ZECO wazindua huduma mpya

Mkuu wa Zantel visiwani Zanzibar, Mohamed Mussa akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya kununua umeme kwa kutumia Ezypesa visiwani humo. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Zantel, Benoit Janin.

Mkuu wa Zantel visiwani Zanzibar, Mohamed Mussa akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa More...

Mbwana Samatta Anayoyafanya Samatta wachezaji wa Tanzania wanayaona?

NA BADI MCHOMOLO, KILA kukicha Watanzania wanapenda kusikia habari za mchezaji wao wa kimataifa, Mbwana Samatta,...

king power mirror Leicester City wanaweza kutetea taji kama watafanya haya

MARTIN MAZUGWA NA MITANDAO, LIGI Kuu nchini England imeanza kwa kasi kubwa na ushindani wa hali...

Jurgen Klopp Mashabiki wa Liverpool wanavyomlia ‘denge’ Klopp

Na ADAM MKWEPU-DAR ES SALAAM NI kwa muda gani wanatakiwa kusubiri kabla hawajapoteza imani kwa kocha...

Uturuki yaua watu 35 Syria

000cc4cc-642

ISTANBUL, UTURUKI MASHAMBULIZI ya anga yanayofanywa na jeshi la Uturuki yamesababisha vifo vya watu 20 na kujeruhi More...

Wanafunzi 44 Kenya wajiunga makundi ya kigaidi

NAIROBI, KENYA WANAFUNZI zaidi ya 44 kutoka vyuo vya elimu ya juu vya umma na binafsi wamejiunga na makundi ya kigaidi..

Nkurunziza aanza jaribio la kutawala maisha Burundi

BUJUMBURA, BURUNDI WAKATI hali ya utulivu ikielekea kurejea kufuatia machafuko ya kisiasa yaliyotokana na uamuzi wa Rais Pierre Nkurunziza kuwania urais..

‘Skendo’ ya Lugumi yazikwa bungeni

Lugumi

Lugumi NA WAANDISHI WETU, DODOMA   SAKATA la mkataba tata wa Kampuni ya Lugumi Enterprises Ltd kudaiwa More...

Sugu, Kubenea, Milya ‘Out’ bungeni

Na Kulwa Mzee, Dodoma WABUNGE wengine watatu wa Chadema wamesimamishwa kuhudhuria vikao kumi vya Bunge na wengine vitano kwa makosa mbalimbali..

Wabunge CCM waihenyesha Serikali bungeni

Na Arodia Peter, Dodoma KWA mara ya kwanza tangu kuanza kwa Bunge la bajeti wabunge jana walikuwa na msimamo wa pamoja..
SHAKILAA

Safari ya muziki ya mkongwe wa Taarabu Bi Shakila – 1

NA VALERY KIYUNGU OLD SKUL ndiyo mahala sahihi ambako mimi na wewe msomaji wangu tunakutana na kuweza kufahamisha mambo kadha wa..
Lupita

Lupita amwanika mpenzi wake

NEW YORK, MAREKANI MSHINDI wa tuzo za Oscar nchini Marekani raia wa Kenya, Lupita Nyong’o, ameamua kumweka wazi mpenzi wake, Mobolaji..
SHAKILAA

Safari ya muziki ya mkongwe wa Taarabu Bi Shakila – 1

NA VALERY KIYUNGU OLD SKUL ndiyo mahala sahihi ambako mimi na wewe msomaji wangu tunakutana na kuweza kufahamisha mambo kadha wa..