Lowassa: Msiogope

Pg 1 lowassa

NA MAREGESI PAUL, NJOMBE MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) chini ya mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa, amewataka Watanzania wasiogope kufanya mabadiliko More...

by france | Posted 20 hours ago

Magufuli: Wana CCM msibague vyama

Pg 1 magufuli

NA BAKARI KIMWANGA, RUVUMA MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amewataka wagombea ubunge na udiwani kupitia chama hicho, kutowabagua watu watakaowachagua More...

Lowassa: Msiogope

Pg 1 lowassa

NA MAREGESI PAUL, NJOMBE MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) chini ya mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa, amewataka Watanzania More...

Dk. Magufuli: Kama kungekuwa na mashindano ya ilani, CCM ingeshinda

ccm

Na Bakari Kimwanga MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema kama kungekuwa na mashindao ya ilani bora ya uchaguzi, chama chake kingeongoza kwani More...

20150810_182328

Hofu ya Ebola yatanda nchini

NA EDITHA KARLO, KIGOMA RAIA wa Burundi aliyetambulika kwa jina la Buchumi Joel (39), amefariki dunia baada ya kuugua ugonjwa wenye dalili sawa na Ebola, ikiwa ni pamoja na kutokwa More...

Lowassa atesa kanda ya Ziwa

Na Waandishi Wetu WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ameendelea kutesa katika mikoa ya Kanda ya Ziwa anakopita kutafuta wadhamini akitafuta kuteuliwa mgombea urais kupitia More...

Dk. Shein avutana na Maalim Seif Zanzibar

Na Esther Mbussi, Zanzibar RAIS wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitashinda kwa kishindo More...

Maalim Seif: CCM hawana pakutokea Zanzibar

maalim

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar MGOMBEA wa urais wa Zanzibar kupitia  Chama cha Wananchi (CUF)  chini ya mwamvuli More...

zutta Yanga: Zutah bado ni mali yetu

NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM UONGOZI wa klabu ya Yanga umesema beki wa kimataifa wa...

Guirane-N-Daw-Birmingham-City-1024_2700680 N’daw afunga usajili Simba

MWALI IBRAHIM NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI raia wa Senegal, Pape N’daw, ameifungia usajili...

JO6A1062 Pluijm agomea mechi Yanga

NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans van der Pluijm, raia wa...

Wimbo wa Daniels wamliza Simon Cowell

Cowell na mama yake

MKURUGENZI wa shindano la X Factor, Simon Cowell, juzi alijikuta akidondosha chozi kutokana na wimbo ulioimbwa More...

Kanye West kuwania urais 2020

NEW YORK, Marekani NYOTA wa muziki wa hip hop nchini Marekani, Kanye West, ametangaza nia ya kuwania urais wa nchi hiyo..

Jay Z kujiondoa kwenye Instagram

LOS ANGELES, Marekani MSANII wa hip hop nchini Marekani, Jay Z, amepanga kujiondoa kwenye mtandao wa Instagram baada ya juzi kuweka..

Kabla ya arobaini, Bobby Brown afanya shoo

150214-news-bobby-brown

NA BADI MCHOMOLO NYOTA wa muziki wa hip hop nchini Marekani, Bobby Brown, juzi alipanda jukwaani na kufanya More...

Ukawa wairarua bajeti ya Serikali

NA ARODIA PETER, Dodoma KAMBI rasmi ya upinzani bungeni imeirarua bajeti ya Serikali na kuainisha mambo mbalimbali yatakayokwamisha utekelezaji wake. Mbali..

Kodi ya mishahara yashuka

Na Waandishi wetu, Dodoma/Dar WAZIRI wa Fedha, Saada Mkuya Salum, amesema Serikali imeendelea na uboreshaji wa masilahi ya wafanyakazi ambapo kwa..

Mfanyabiashara kijana anayemiliki viwanda kwa kuuza korosho

MTZ UCHUMI MPYA SAFI.indd NA HAMISA MAGANGA VIJANA wengi wamekuwa wakikimbia kilimo vijijini wakidhani kuwa hakina faida yoyote. Hawafahamu kuwa siku zote mwanzo ni mgumu..

Lembeli awatadharisha wananchi Shinyanga

LEMBE Na Kadama Malunde MGOMBEA ubunge wa   Kahama mjini   kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), James Lembeli,  amewataka watanzania kupuuza propaganda inayoenezwa..
Anne-Marie Lewis

Anne-Marie Lewis – Si kazi ngumu mwanamke kuwa rubani

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam LICHA ya kwamba uwepo wa wanawake katika sekta ya usafiri wa anga kuwa mdogo, uwezo wa..
Wema Dimpoz

Wema Sepetu na zawadi kutoka kwa Dimpoz

MANENO aliyoandika mrembo wa Tanzania mwaka 2006, Wema Sepetu katika mtandao wake wa Instagram baada ya kupewa zawadi ya simu na..
Anne-Marie Lewis

Anne-Marie Lewis – Si kazi ngumu mwanamke kuwa rubani

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam LICHA ya kwamba uwepo wa wanawake katika sekta ya usafiri wa anga kuwa mdogo, uwezo wa..