Maswali magumu kifo cha polisi

mwee

NA WAANDISHI WETU,DAR, KITETO KUUAWA kwa aliyekuwa Kamanda wa Kikosi Maalum cha Kupambana na Uhalifu, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Thomas Muniko anayedaiwa kupigwa risasi na majambazi eneo la Vikindu, More...

by William Hezron | Posted 16 mins ago

Chadema yafunguliwa kesi kila kona

1

Na Waandishi Wetu, Dar na mikoani JESHI la Polisi nchini limewatia mbaroni viongozi na makada 58  wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) baada ya kuzuiwa mikutano ya More...

Maswali magumu kifo cha polisi

mwee

NA WAANDISHI WETU,DAR, KITETO KUUAWA kwa aliyekuwa Kamanda wa Kikosi Maalum cha Kupambana na Uhalifu, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Thomas Muniko anayedaiwa kupigwa risasi More...

Ole Sendeka – Katiba inaibana Chadema

OLE SENDEKA

Na – JOHANES RESPICHIUS – DAR ES SALAAM IMEELEZWA kuwa Katiba haitoi haki na uhuru usiokuwa na ukomo hivyo mwenendo wa sasa wa kisiasa wa Chama cha Demokrasia na More...

Ofisa wa Serikali kizimbani kwa udanganyifu

NA MURUWA THOMAS, NZEGA OFISA Utumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda mkoani Mara, Alloys Andew Kwezi, amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu. Akisomewa More...

Jipu jipya la watumishi hewa

NA JUDITH NYANGE, MWANZA MKOA wa Mwanza umebaini uwepo wa watumishi hewa wapya 1,057 baada ya kurejea kwa zoezi la uhakiki. Watumishi hao hewa wamelipwa jumla ya Sh bilioni 2.2 More...

Maalim Seif agoma kumpa mkono Dk. Shein

ZIFF chief guest, 1st vice president, Maalim Seif Sharif at ZIFF 2013

Maalim Seif Sharif Hamad Na MWANDISHI WETU, ZANZIBAR KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amekataa More...

Zantel, ZECO wazindua huduma mpya

Mkuu wa Zantel visiwani Zanzibar, Mohamed Mussa akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya kununua umeme kwa kutumia Ezypesa visiwani humo. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Zantel, Benoit Janin.

Mkuu wa Zantel visiwani Zanzibar, Mohamed Mussa akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa More...

Marcus-Rashford-648510 Rashford apoteza nafasi kikosi cha England

LONDON, ENGLAND KINDA wa timu ya Manchester United, Marcus Rashford, amepoteza nafasi yake katika kikosi cha...

Thierry Henry Henry ateuliwa kocha timu ya taifa Ubelgiji

LONDON, ENGLAND KOCHA mpya wa timu ya taifa ya Ubelgiji, Roberto Martinez, amemtaja mchezaji wa zamani...

Kichuya Kichuya aingia rada za Ajib

Na ZAINAB IDDY-DAR ES SALAAM WINGA wa timu ya Simba, Shiza Kichuya, ameanza kusaka rekodi ya...

Mlipuko waua polisi 11 Uturuki

turkey

ANKARA, Uturuki ASKARI wa Jeshi la Polisi 11 wameuawa kwa mlipuko wa bomu uliotokea jana kwenye kituo cha polisi More...

Vyuo vikuuu vinavyotoza ada kubwa duniani

NA FARAJA MASINDE, ELIMU imekuwa na gharama kubwa mno, ambapo kila kukicha inazidi kupanda thamani. Ni kweli kuwa kila mmoja anahitaji..

Mwanamke alipia kukatwa viungo vyake kwa ajili ya malipo ya bima Vietnum

  Mwanamke mmoja nchini Vietnam amekiri kutoa mguu na sehemu ya mkono wake vikatwe ili aweze kudai malipo ya bima, kwa..

‘Skendo’ ya Lugumi yazikwa bungeni

Lugumi

Lugumi NA WAANDISHI WETU, DODOMA   SAKATA la mkataba tata wa Kampuni ya Lugumi Enterprises Ltd kudaiwa More...

Sugu, Kubenea, Milya ‘Out’ bungeni

Na Kulwa Mzee, Dodoma WABUNGE wengine watatu wa Chadema wamesimamishwa kuhudhuria vikao kumi vya Bunge na wengine vitano kwa makosa mbalimbali..

Wabunge CCM waihenyesha Serikali bungeni

Na Arodia Peter, Dodoma KWA mara ya kwanza tangu kuanza kwa Bunge la bajeti wabunge jana walikuwa na msimamo wa pamoja..
SHAKILAA

Safari ya muziki ya mkongwe wa Taarabu Bi Shakila – 1

NA VALERY KIYUNGU OLD SKUL ndiyo mahala sahihi ambako mimi na wewe msomaji wangu tunakutana na kuweza kufahamisha mambo kadha wa..
RAY-na-Chuchu

Chuchu: Simtawali Ray, nimembadilisha    

Na KYALAA SEHEYE STAA wa filamu za Kibongo, Chuchu Hans amefunguka kuwa staili yake ya maisha imechangia kumbadilisha tabia mpenzi wake..
SHAKILAA

Safari ya muziki ya mkongwe wa Taarabu Bi Shakila – 1

NA VALERY KIYUNGU OLD SKUL ndiyo mahala sahihi ambako mimi na wewe msomaji wangu tunakutana na kuweza kufahamisha mambo kadha wa..