Wagombea urais wapigana vikumbo kwa Komba

komba

NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM KIFO cha Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kepteni John Komba (CCM), kimewafanya makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wanaotajwa kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa Oktoba More...

by france | Posted 11 hours ago

Albamu mpya ya Barnaba kuandaliwa miezi mitatu

barnaba

NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Barnaba Elias ‘Barnaba Classic’, amesema atatumia muda wa miezi mitatu kundaa albamu yake mpya. Akizungumza More...

Kigogo mbaroni kwa mauaji ya albino

NA PETER FABIAN, MWANZA KIONGOZI wa chama kimoja cha siasa mkoani Mwanza (jina tunalo) anashikiliwa na Jeshi la Polisi akihusishwa na uhalifu wa utengenezaji wa noti bandia, More...

Zitto: Chenge afungiwe uongozi wa umma

kabwe

Na Aziza Masoud, Dar es Salaam WAKATI Tume ya Maadili ya Utumishi wa Umma ikiendelea na mvutano wa sheria na Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM), Andrew Chenge, Mwenyekiti wa Kamati More...

Deo-Filikunjombe

Filikunjombe: Ziwa Nyasa lipo salama

Na Mwandishi Wetu, Ludewa MBUNGE wa Ludewa, Deo Filikunjombe (CCM), amewataka wananchi wanaoishi mwambao wa Ziwa Nyasa kufanya shughuli zao, kwani mazungumzo ya kutafuta amani More...

Mafutiko yatikisa Mwanza

Jiji la Mwanza BENJAMIN MASESE NA ABUBAKARI AKIDA, MWANZA MVUA kubwa inayoendelea kunyesha mkoani Mwanza, imesababisha maafa makubwa yakiwamo ya watu kukosa sehemu za kujihifadhi, More...

Kigogo CCM afia mkutanoni

salmin

Na Is-haka Omar, Zanzibar MWAKILISHI wa Magomeni visiwani Zanzibar, Salmin Awadhi Salmin (CCM), amefariki dunia ghafla baada More...

Majambazi yatikisa Zanzibar

mtz1

Na Mwadishi Wetu, Zanzibar MAJAMBAZI yametikisa viunga vya Mtaa wa Darajani kisiwani Zanzibar na kusimamisha shughuli More...

simba Timbwili laibuka mkutano Simba

NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM MKUTANO mkuu wa dharura wa klabu ya Simba ulifanyika jana...

yang Azam, Yanga katika mtihani mwingine VLP

ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom, Azam FC na Yanga...

Rekodi ya 2010/11 huenda ikajirudia

NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM LIGI Kuu ya Vodacom msimu huu imekuwa na utata mkubwa...

Tausi: Nitaibua, kukuza vipaji vya wanamitindo

Tausi

NA SALMA MPELI, DAR ES SALAAM MWANAMITINDO wa Tanzania ambaye anafanya shughuli zake nchini Marekani, Tausi More...

Mtandao: Walioficha fedha nje wafichuliwe

Elias Msuya na mashirika ya habari MTANDAO wa ONE wenye makao yake nchini Afrika Kusini umewataka Waafrika Kuungana na kutia saini..

Kikwete, Kagame ana kwa ana

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam RAIS Jakaya Kikwete pamoja na Rais wa Rwanda, Paul Kagame wamekutana ana kwa ana nchini..

Nisha kuwapa elimu ya maisha mashabiki

nisha

NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM MWIGIZAJI wa filamu nchini, Salma Jabu ‘Nisha’, amesema anatarajia kuachia More...

Pinda: Uamuzi wa madiwani Chadema umeshatolewa

Na Debora Sanja, Dodoma UAMUZI kuhusu hatma ya madiwani watatu wa Chadema katika Manispaa ya Ilemela waliofukuzwa na Meya wa Manispaa..

NEC yaagizwa ikutane na vyama vya siasa

Na Maregesi Paul, Dodoma BUNGE limeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ikutane na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), kuangalia namna..

Zitto: Chenge afungiwe uongozi wa umma

kabwe Na Aziza Masoud, Dar es Salaam WAKATI Tume ya Maadili ya Utumishi wa Umma ikiendelea na mvutano wa sheria na Mbunge..

Kigogo mbaroni kwa mauaji ya albino

NA PETER FABIAN, MWANZA KIONGOZI wa chama kimoja cha siasa mkoani Mwanza (jina tunalo) anashikiliwa na Jeshi la Polisi akihusishwa na..

Shule ya Msingi Mailimoja taabani, yahitaji msaada wa haraka

NA GUSTAPHU HAULE, PWANI SHULE ya Msingi Mailimoja iliyopo Kibaha mkoani Pwani ni miongoni mwa shule ambazo zinapoteza umaarufu wa Mji..
barnaba

Albamu mpya ya Barnaba kuandaliwa miezi mitatu

NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Barnaba Elias ‘Barnaba Classic’, amesema atatumia muda wa miezi..

Shule ya Msingi Mailimoja taabani, yahitaji msaada wa haraka

NA GUSTAPHU HAULE, PWANI SHULE ya Msingi Mailimoja iliyopo Kibaha mkoani Pwani ni miongoni mwa shule ambazo zinapoteza umaarufu wa Mji..