Gwajima ashitakiwa

Asifiwe George na Evans Magege HATIMAYE Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, ameshitakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa makosa mawili ya kutoa lugha ya matusi na uzembe More...

by france | Posted 2 days ago

TPA yaonya shughuli zao kuingiliwa

Na Faraja Masinde, Dar es Salaam MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imesema ni kinyume cha sheria namba 17 ya Bandari ya mwaka 2004 kwa taasisi au mtu binafsi kuendeleza, More...

Chadema yachochea wadau kupinga madudu ya miswada ya habari, mitandao

mnyika

Na Aziza Masoud, Dar es Salaam CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimewataka wadau wa habari na taasisi mbalimbali, zikiwemo za kimataifa kuangalia kwa makini na kujadili More...

Mengi atuhumiwa kwa uhaini *Mwenyewe aibuka na kukanusha

Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam MWENYEKITI wa Kampuni za IPP, Reginald Mengi, ametuhumiwa kutaka kuiangusha Serikali ya Rais Jakaya Kikwete na kumshughulikia baada ya kumaliza uongozi More...

Deo-Filikunjombe

Filikunjombe: Ziwa Nyasa lipo salama

Na Mwandishi Wetu, Ludewa MBUNGE wa Ludewa, Deo Filikunjombe (CCM), amewataka wananchi wanaoishi mwambao wa Ziwa Nyasa kufanya shughuli zao, kwani mazungumzo ya kutafuta amani More...

Mafutiko yatikisa Mwanza

Jiji la Mwanza BENJAMIN MASESE NA ABUBAKARI AKIDA, MWANZA MVUA kubwa inayoendelea kunyesha mkoani Mwanza, imesababisha maafa makubwa yakiwamo ya watu kukosa sehemu za kujihifadhi, More...

Marekani yaimwagia sifa Zanzibar

sarah-sewall

NA IS-HAKA OMAR, ZANZIBAR NAIBU Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Marekani anayeshughulikia masuala ya usalama wa raia, demokrasia More...

Ali Salehe ajitosa ubunge Mji Mkongwe

ally-saleh1

Na Is-haka Omar, Zanzibar MWANDISHI wa habari mkongwe, Ali Saleh Ali, ni miongoni mwa wanachama wa Chama cha Wananchi More...

PIERRE KWIZERA Simba kumlipa Kwizera

NA SAADA SALIM, DAR ES SALAAM UONGOZI wa klabu ya Simba umeamua kumlipa aliyekuwa mchezaji wake,...

faouzibenzarti Kocha Etoile aingia mitini

NA ONESMO KAPINGA KOCHA Mkuu wa Etoile du Sahel ya Tunisia, Faouzi Benzarti, ameingia mitini baada...

pluijm Waangola wampa mbinu Pluijm

NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM KOCHA Mkuu wa timu ya Yanga, Hans van Pluijm, amenasa...

Vurugu Afrika Kusini zavuka mipaka

jacob-zuma

Durban, Afrika Kusini LICHA ya Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma kulaani vurugu zinazoendelea nchini humo dhidi More...

Kikwete, Kenyata wamaliza mgogoro

NAIROBI, KENYA RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta na Rais Jakaya Kikwete wamekubaliana magari ya Tanzania yaruhusiwe kuingia Uwanja wa Ndege wa..

Wanaume wabeba matumbo bandia kuonja uchungu wa kujifungua.

BAADA ya kuhangaika nayo tumboni kwa miezi tisa, hatimaye siku ya siku imefika kwa mtoto mtarajiwa kukaribia kuzaliwa. Baada ya kero,..

Silaha bandia za watoto marufuku Julai mwaka huu

Na Fredy Azzah, Dodoma IFIKAPO Julai Mosi mwaka huu endapo mwanao atabainika kuwa na silaha bandia (mwanasesere) More...

Spika amzuia Zitto kuachia ubunge

Na Fredy Azzah, Dodoma AZMA ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema), ya kujiuzulu ubunge imegonga mwamba baada ya kuelezwa..

Muswada wa ajira waligawa Bunge

Na Fredy Azzah, Dodoma MUSWADA wa Sheria ya Kazi na Ajira uliosomwa bungeni kwa mara ya pili jana na Waziri wa..

Sumatra yagoma kushusha nauli

IMG_8336 Na Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra), imesema haiwezi kupunguza nauli..

Ukawa yajizatiti kuelekea Ikulu 2015

lipumba NA GRACE SHITUNDU, DAR ES SALAAM CHAMA cha Wananchi (CUF) kimedhamiria kudumisha ushirikiano wa vyama vinavyounda UKAWA kuhakikisha wanaking’oa madarakani Chama..
Kuanzia kushoto; Jonny Biggins, Steve Hanson na Jason Bramley walivaa mimba bandia kwa mwezi mmoja

Wanaume wabeba matumbo bandia kuonja uchungu wa kujifungua.

BAADA ya kuhangaika nayo tumboni kwa miezi tisa, hatimaye siku ya siku imefika kwa mtoto mtarajiwa kukaribia kuzaliwa. Baada ya kero,..
Kajala-Masanja-5331

Kajala: Natoka na Pishu

NA SHARIFA MMASI MWIGIZAJI wa filamu nchini, Kajala Masanja ‘Kajala’ yupo katika hatua za mwisho kutoka na filamu yake mpya aliyoiita..
Kuanzia kushoto; Jonny Biggins, Steve Hanson na Jason Bramley walivaa mimba bandia kwa mwezi mmoja

Wanaume wabeba matumbo bandia kuonja uchungu wa kujifungua.

BAADA ya kuhangaika nayo tumboni kwa miezi tisa, hatimaye siku ya siku imefika kwa mtoto mtarajiwa kukaribia kuzaliwa. Baada ya kero,..