Askofu Gwajima ataka kutoroshwa Kimafia

gwajima

Na Waandishi Wetu,Dar es Salaam JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, linawashikilia wafuasi 15 wa Kanisa la Ufufuo na Uzima kwa tuhuma za kutaka kumtorosha Askofu Mkuu wa kanisa hilo, Josephat More...

by france | Posted 8 hours ago

Abdu Bonge kuzikwa leo Mkuyuni, Morogoro

NA FARAJA MASINDE MWILI wa aliyekuwa mwanzilishi wa kundi la Tip Top Connection, Abdul TaleTale (Abdu Bonge), unatarajiwa kuzikwa leo kijijini kwao Mkuyuni mkoani Morogoro. Wakati More...

Wanaharakati wapinga muswada wa mtandao

Na Adam Mkwepu Dar es Salaam WADAU wa matumizi ya mtandao wametoa tamko la kuliomba Bunge lisipitishe Muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao kuwa sheria, kwa kuwa unaingilia More...

Mahakama ya Kadhi yawavuruga wabunge

Na Debora Sanja na Fredy Azzah, Dodoma WABUNGE wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jana nusura wazichape kavukavu baada ya kutofautiana juu ya uanzishwaji wa Mahakama More...

Deo-Filikunjombe

Filikunjombe: Ziwa Nyasa lipo salama

Na Mwandishi Wetu, Ludewa MBUNGE wa Ludewa, Deo Filikunjombe (CCM), amewataka wananchi wanaoishi mwambao wa Ziwa Nyasa kufanya shughuli zao, kwani mazungumzo ya kutafuta amani More...

Mafutiko yatikisa Mwanza

Jiji la Mwanza BENJAMIN MASESE NA ABUBAKARI AKIDA, MWANZA MVUA kubwa inayoendelea kunyesha mkoani Mwanza, imesababisha maafa makubwa yakiwamo ya watu kukosa sehemu za kujihifadhi, More...

Mansour ajitosa uwakilishi Kiembesamaki

mansour-yussuf-himid

SARAH MOSSI NA IS-HAKA HASSAN, ZANZIBAR WAZIRI wa zamani wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mansour Himid Yussuf, ametangaza More...

Marekani yaimwagia sifa Zanzibar

sarah-sewall

NA IS-HAKA OMAR, ZANZIBAR NAIBU Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Marekani anayeshughulikia masuala ya usalama More...

pg 32 (2) Matumla, Mchina Xin Hua kudundana leo

THERESIA GASPER NA ASIFIWE GEORGE, DAR ES SALAAM MABONDIA Mohamed Matumla na Wang Xin Hua wametambiana...

Pluijm Pluijm afunguka, atoa tamko

NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM KOCHA Mkuu wa Yanga Mholanzi, Hans van Der Pluijm, amesema...

Falcao Falcao kuondoka Manchester United

MANCHESTER, ENGLAND MSHAMBULIAJI wa timu ya Manchester United raia wa Colombia, Radamel Falcao, amesema mwisho wa...

Lil Wayne amtangaza Christina Milian kuwa mpenzi wake mpya

lil-wayne na mpenzi wake christina-milian

BADI MCHOMOLO NA MTANDAO BOSI wa kundi la Young Money, Lil Wayne, amemuweka wazi mpenzi wake mpya, Christina More...

Bibi: Tuko tayari kwa kifo cha Kristina

NA MWANDISHI WETU KADRI hali ya mtoto wa aliyekuwa nguli wa muziki nchini Marekani, Whitney Houston, Kristina Brown, inavyozidi kuwa mbaya,..

Mahafali ya Chuo Kikuu Huria yafana Rwanda

Na Mwandishi Wetu CHUO Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), kimefanya mahafali yake ya 28 katika kituo cha uendeshaji kilichopo mjini Kibungo,..

Mahakama ya Kadhi yawavuruga wabunge

Na Debora Sanja na Fredy Azzah, Dodoma WABUNGE wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jana nusura wazichape More...

Muswada wa habari waondolewa bungeni

Na Fredy Azzah, Dodoma HATIMAYE Serikali imekubali kuuondoa muswada wa habari na ule wa vyombo vya habari iliyopangwa kuwasilishwa kwa hati..

Mwandishi atakayepotosha jela miaka mitatu

Na Fredy Azzah, Dodoma BUNGE limetuma salamu kwa vyombo vya habari na waandishi wa habari kwa kupitisha Muswada wa Takwimu wa..

Wachumi wazungumzia kudidimia shilingi

haji Koku David na Jonas Mushi, Dar es Salaam MHADHIRI wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Haji Semboja, amesema utakatishaji..

Msigwa avishangaa vyombo vya usalama

Mchungaji Peter Msigwa NA RAYMOND MINJA, IRINGA MBUNGE wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa (Chadema), amesema kitendo cha Chama Cha Mapinduzi (CCM), kupotosha umma..

Kituo cha watu wenye ulemavu wa ngozi kilichojaa changamoto!

NA AGATHA CHARLES, ALIYEKUWA SHINYANGA WAKATI jamii ikipambana kuzuia mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino), imebainika kuwa licha ya..

Abdu Bonge kuzikwa leo Mkuyuni, Morogoro

NA FARAJA MASINDE MWILI wa aliyekuwa mwanzilishi wa kundi la Tip Top Connection, Abdul TaleTale (Abdu Bonge), unatarajiwa kuzikwa leo kijijini..

Kituo cha watu wenye ulemavu wa ngozi kilichojaa changamoto!

NA AGATHA CHARLES, ALIYEKUWA SHINYANGA WAKATI jamii ikipambana kuzuia mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino), imebainika kuwa licha ya..