Hakimu atishia kufuta kesi ya vigogo NIDA

mahigacourt

Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam HAKIMU Mkazi Mkuu, Respicious Mwijage ameiambia Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru),  kwamba hataki ubabaishaji na kama hawataki kuendelea na kesi ya vigogo More...

by Mtanzania Digital | Posted 18 hours ago

Lissu awa kivutio kesi dhidi ya Bulaya

TUNDU Lissu

TUNDU Lissu Na SHOMARI BINDA, TUNDU Lissu, wakili anayemtetea Mbunge wa Bunda Mjini, Esther Bulaya katika kesi ya kupinga ushindi wake katika uchaguzi mkuu wa mwaka jana juzi alikuwa More...

Marie Stopes kutoa huduma ya uzazi bure

Mkurugenzi Mkazi wa Marie Stopes, Anil Tambay

Mkurugenzi Mkazi wa Marie Stopes, Anil Tambay Na HARRIETH MANDARI, DAR ES SALAAM WATANZANIA wametakiwa kujitokeza kupata huduma ya uzazi wa mpango bure kuanzia Novemba 2-4, mwaka More...

Nyumba, vibanda 50 vyakumbwa na bomoabomoa

bomoa

LEONARD MANG’OHA Na FERDANANDA MBAMILA, DAR ES SALAAM NYUMBA na vibanda vya biashara zaidi ya 50 vimevunjwa katika zoezi la bomoabomoa linaloendelea jijini Dar es Salaam, More...

TUNDU Lissu

Lissu awa kivutio kesi dhidi ya Bulaya

TUNDU Lissu Na SHOMARI BINDA, TUNDU Lissu, wakili anayemtetea Mbunge wa Bunda Mjini, Esther Bulaya katika kesi ya kupinga ushindi wake katika uchaguzi mkuu wa mwaka jana juzi alikuwa More...

Askari ‘fake’ anaswa akitapeli

Na JUDITH NYANGE-MWANZA JESHI la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia Ahmed Gabo mkazi wa Bugarika, Kata ya Pamba wilayani Nyamagana, kwa tuhuma za kuiba, kuvaa sare za jeshi More...

SMZ yampiga ‘stop’ Maalim Seif kutumia misikiti

maalim-seif-sharif-hamad

Na Juma Mohammed, MAELEZO Zanzibar SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar, imepiga marufuku wanasiasa kutumia nyumba za ibada kwa More...

Dk. Shein naye ashtukia mikopo elimu ya juu

RAIS wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein

RAIS wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein Na Mwandishi Wetu, Unguja RAIS wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, ameiagiza More...

GEORGE Lwandamina Milioni 38/- zamvuta Lwandamina Yanga

NA MWANDISHI WETU, GEORGE Lwandamina amevutiwa kujiunga na mabingwa wa Ligi Kuu Bara, Yanga, baada ya...

Mohamed Kiganja BMT yapiga ‘stop’ ukodishwaji Yanga, hisa Simba

Na ADAM MKWEPU-DAR ES SALAAM BARAZA la Michezo Taifa (BMT), limesitisha michakato yote inayoendelea ndani ya...

lwandamina Viongozi Zesco kumjadili George Lwandamina

Na ADAM MKWEPU-DAR ES SALAAM SIKU mbili baada ya kocha mkuu wa timu ya Zesco United...

Je, unataka kuoga ndani ya bakuli la supu?

3

Watoto wakiwa ndani ya bakuli la supu   NA JOSEPH HIZA, JE, unaweza kuoga au kuogelea katika mlo au kinywaji More...

Miji 10 ambayo mwanafunzi anaweza kumudu maisha

Na FARAJA MASINDE, KUSOMA nje ya nchi mara nyingi kunampa mwanafunzi fursa adimu ya kujifunza mambo mbalimbali yanayoendelea duniani, hasa kwenye..

Mjane aliyejiweka sokoni pamoja na nyumba yake

Na Joseph Hiza, SEHEMU kubwa ya mali zisizohamishika zinapowekwa sokoni hasa majengo kwa kawaida huambatana na maelezo kuhusu vitu vilivyomo. Huhusisha..

Zitto kuwasilisha hoja binafsi bungeni

zitto-kabwe

Na RAMADHAN HASSAN,DODOMA KAMATI ya Katiba na Sheria ya Chama cha ACT–Wazalendo,inatarajia kuwasilisha bungeni More...

Wabunge wachangia milioni 85/- Kagera

Na MAREGESI PAUL, DODOMA SPIKA wa Bunge, Job Ndugai, amesema wabunge wamechanga Sh milioni 85.5 kwa ajili ya kusaidia waathirika wa..

Zungu amwomba radhi Mbowe

Na Maregesi Paul, Dodoma MWENYEKITI wa Bunge, Mussa Zungu, amemwomba radhi Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, baada..

Mapya yaibuka kutoweka kwa Rais wa Malawi

RAIS wa Malawi, Peter Mutharika, ametoweka na hajulikani alipo. Mara ya mwisho alionekana hadharani Septemba 16, mwaka huu alipohudhuria Mkutano Mkuu..
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Ihsan wakiwa darasani.

Kingereza ni kikwazo kwa wanafunzi sekondari

Na Hamisa Maganga, UTOAJI elimu nchini umekuwa na changamoto nyingi hasa kwa shule za serikali na zile za binafsi. Baadhi ya..
Charles Mwijage

Mwijage kuwa mgeni rasmi fainali Maisha Plus

Na HADIA KHAMIS –DAR ES SALAAM WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Charles Mwijage, amekubali kuwa mgeni rasmi katika fainali ya Maisha..
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Ihsan wakiwa darasani.

Kingereza ni kikwazo kwa wanafunzi sekondari

Na Hamisa Maganga, UTOAJI elimu nchini umekuwa na changamoto nyingi hasa kwa shule za serikali na zile za binafsi. Baadhi ya..