MAUAJI KIBITI YAUMIZA VICHWA

Na NORA DAMIAN MAUAJI ya viongozi wa kisiasa na Serikali yanayoendelea Wilaya ya Kibiti mkoani Pwani, yanaonekana kuumiza vichwa vya wengi kutokana na polisi kuyahusisha na vitendo vya ujambazi, More...

by Mtanzania Digital | Posted 10 hours ago

WALIONUSURIKA AJALI MV BUKOBA WAOMBA ELIMU YA UKOAJI

Na JUDITH NYANGE SERIKALI imeombwa kutoa elimu ya namna ya kujiokoa kwa abiria wanaotumia usafiri wa majini   kuepusha vifo vya watu wengi kama ilivyokuwa katika More...

MONGELA AMTAKA RMO KUKABILIANA NA EBOLA

Na JUDITH NYANGE MKUU wa Mkoa wa Mwanza, John Mongela, amemtaka Mganga Mkuu wa Mkoa huo, Dk. Leonard Subi, kutoa muongozo wa jinsi ya kukabiliana na ugonjwa wa ebola More...

‘KUMRUSHA MTOTO DARASA NI HATARI’

Na MWANDISHI WETU-DAR ES SALAAM KUMRUSHA mtoto darasa kwa kisingizio kwamba ana uwezo mkubwa ni jambo la hatari na linaweza kuharibu akili yake kadri anavyoendelea More...

TISA MBARONI KWA KUVUNJA NYUMBA, WIZI

  Na JUDITH NYANGE, JESHI la Polisi Mkoa wa Mwanza linawashikilia watu tisa  kwa tuhuma za  kujihusisha  na uvunjaji wa  nyumba  na kuiba More...

MISUNGWI YATENGA MILIONI 240/- KUJENGA SEKONDARI

  Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Eliud Mwaiteleke   Na PETER FABIAN, HALMASHAURI ya Wilaya ya Misungwi, imetenga Sh milioni 240 kwa ajili ya kujenga sekondari More...

DK. SHEIN AWAFARIJI WALIOPATWA NA MAAFA PEMBA

NA SULEIMAN OMAR-PEMBA RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, amewatembelea More...

KIMBUNGA CHALETA MAAFA ZANZIBAR

Na MWANDISHI WETU-ZANZIBAR ZAIDI ya nyumba 70 zimeezuliwa mapaa kisiwani Unguja, Zanzibar baada ya kimbunga More...

SERENGETI BOYS KARATA MUHIMU GABON

Na ZAINAB IDDY-DAR ES SALAAM TIMU ya taifa ya vijana walio chini ya miaka 17, Serengeti...

MBAO YATIA DOA UBINGWA YANGA

  MWANDISHI WETU- MWANZA na ZAINAB IDDY-DAR ES SALAAM TIMU ya Yanga ilikabidhiwa rasmi ubingwa wa...

WALICHOPANDA NDICHO WALICHOVUNA VPL 2016/17

Na ZAINAB IDDY, DAR ES SALAAM LIGI Kuu Tanzania Bara msimu wa 2016/17 unatia nanga Jumamosi...

TEMER ASHINIKIZWA AACHIE MADARAKA

RIO DE JANEIRO, BRAZIL WANANCHI wa Brazil wamefanya maandamano makubwa ya kumshinikiza Rais Michel More...

TRUMP AZUNGUMZIA FURSA YA AMANI MASHARIKI YA KATI

TEL AVIV, ISRAEL RAIS wa Marekani, Donald Trump, ameeleza matumaini ya kupatikana amani Mashariki ya Kati baada ya kuwasili hapa jana...

UINGEREZA YAONYA NJAMA ZA KUMPINDUA BUHARI

ABUJA, NIGERIA SERIKALI ya Uingereza imeionya Nigeria juu ya kufanya mabadiliko ya Serikali yasiyo ya kidemokrasia. Onyo hilo limekuja kufuatia minong’ono..

KILIMO CHAWATIA HOFU WABUNGE

    Na MAREGESI PAUL-DODOMA BAADHI ya wabunge wameonyesha hofu juu ya ukuaji wa sekta More...

MDEE AWATIBUA WABUNGE CCM

  Na MAREGESI PAUL -DODOMA MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee (Chadema), amewatibua wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya kuwashangaa..

NAPE,KITWANGA WAGEUKA

Na Mwandishi Wetu, MAWAZIRI wa zamani, Nape Nnauye na Charles Kitwanga, wamegeuka kuwa mwiba kwa kutoa hoja za kukosoa utendaji wa..

UCHAGUZI MKUU KENYA 2017: NI KENYATTA AU RAILA ODINGA

Na Dorine Otinga, Nairobi IMESALIA miezi miwili kabla ya kufanyika Uchaguzi Mkuu wa wawakilishi wa mitaa, magavana, seneta wa kaunti, wabunge..

UVUVI HARAMU WAKWAMISHA SOKO LA KIMATAIFA

Na FERDNANDA MBAMILA–DAR ES SALAAM Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi, imekuwa ikipiga  vita suala la uvuvi haramu...

SCOTT EDWARD ADKINS ‘BOYKA’ MKALI WA MAPIGANO

Kama mfuatiliaji wa filamu za mapigano, majina ya filamu hizi si mageni kwako ‘Hard Tarfet 2’, ‘Close Range’, ‘Wolf Warrios’, ‘Jarhead’,..

UVUVI HARAMU WAKWAMISHA SOKO LA KIMATAIFA

Na FERDNANDA MBAMILA–DAR ES SALAAM Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi, imekuwa ikipiga  vita suala la uvuvi haramu...

Polls

How Is My Site?

View Results

Loading ... Loading ...