MADIWANI 60 WAHAMA CHADEMA

EVANS MAGEGE Na AGATHA CHARLES-DAR ES SALAAM | WAKATI vuguvugu la madiwani kujiuzulu nyadhifa zao likiendelea kuchukua sura mpya siku hadi siku, imebainika kwamba tangu Januari mwaka juzi hadi sasa, More...

by Mtanzania Digital | Posted 12 hours ago

HOSPITALI YA AGA KHAN DODOMA YATEKETEA KWA MOTO

Na Mwandishi Wetu, Dodoma Hospitali ya Aga Khan (Apollo Medical Centre) iliyopo Barabara ya Sita mkoani Dodoma imeteketea kwa moto baada ya kutokea kwa hitilafu ya umeme. Hitilafu More...

WAMILIKI WA MAJENGO SASA KULIPIA KODI KIELEKTRONIKI

Na Veronica Kazimoto, Dar es Salaam Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imewataka wamiliki wa majengo nchini kulipia kodi ya majengo ya mwaka 2017/18 hadi kufikia Juni 30, mwaka More...

HAKIMU ALIYEDAIWA KUTISHIWA MAISHA AFARIKI DUNIA

NA MWANDISHI WETU - DAR ES SALAAM | HAKIMU Mkazi wa Mahakama ya Ilala, Dar es Salaam, Juma Kasailo, amefariki dunia jana kutokana na kile kilichotajwa kuwa ni maradhi More...

RC APIGA MARUFUKU KUPIGA YOWE

Na BENJAMIN MASESE – MARA MKUU wa Mkoa wa Mara, Adam Malima, amepiga marufuku utaratibu wa wananchi wa vijiji vitatu vya Remng’orori, Mikomarilo na Sirorisimba vilivyoko More...

WAZIRI LUKUVI ATANGAZA KIAMA WADAIWA SUGU ARDHI

Na MASYENENE DAMIAN -MWANZA WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, amesema ifikapo Aprili 30, mwaka huu ndiyo siku ya mwisho wa ulipaji kodi ya pango More...

FALSAFA  YA KUTOA MIKOPO KWA UTARATIBU WA MURABAH

Na Jamal Issa Juma UJIO wa benki zinazotoa huduma za kibenki katika utaratibu unaokubalika katika Uislamu umeleta huduma More...

DK. SHEIN AAPISHA WAKUU WA MIKOA

Na MWANDISHI MAALUM-ZANZIBAR RAIS wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein amewaapisha wakuu wa mikoa wapya na Naibu More...

AZAM KUVAANA NA KMC

Na THERESIA GASPER-DAR ES SALAAM MICHUANO ya Kombe la Shirikisho inatarajiwa kuendelea leo kwa timu ya...

RAIS FIFA AAPA KUWASHUGHULIKIA MAFISADI

Na ASHA MUHAJI –DAR ES- SALAAM  RAIS wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), Gianni Infantino,...

CONTE AMGEUZIA KIBAO ABRAMOVICH, ATAKA MAMBO HADHARANI

LONDON, ENGLAND KOCHA wa timu ya Chelsea, Antonio Conte, anataka kura ya umma ya kuaminika kutoka...

MATAIFA YA AFRIKA YANAONGOZA KWA UFISADI DUNIANI

BERLIN, UJERUMANI   |   RIPOTI ya Shirika la Kimataifa la Kupambana na Ufisadi, Transparency International, More...

EAC YAKABILIWA NA UHABA WA FEDHA

KAMPALA, UGANDA MATAIFA ya Jumuiya ya Afrika Mashariki yanahitaji kiasi cha Dola za Marekani bilioni 78 kufanikisha miradi mbalimbali ya miundombinu..

MADAKTARI WAONDOA UVIMBE KWENYE UBONGO

MUMBAI, INDIA MWANAMUME mmoja mwenye umri wa miaka 31 nchini India ametolewa uvimbe wa kilo 1.8 na timu ya madaktari nchini..

PROFESA KABUDI ABANWA BUNGENI

Na RAMADHAN HASSAN-DODOMA WAZIRI wa Katiba na Sheria, Profesa Paramagamba Kabudi amejikuta katika mgumu baada More...

MBUNGE AHOJI UHALALI WA BAKWATA KUWA MSEMAJI WA WAISLAMU

Na Esther Mbusi, Dodoma Mbunge wa Mchinga, Hamidu Bobali (CUF), amehoji uhalali wa Baraza la Waislamu Tanzania (Bakwata) kuwa wasemaji wa..

CHID BENZ NI ZAIDI YA SIKIO LA KUFA!

Na CHRISTOPHER MSEKENA KATIKATI ya wiki, Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto alikutana na waandishi wa habari..

KWANINI WAPIGAKURA WANAPUNGUA?

NA MARKUS MPANGALA | MATOKEO ya uchaguzi mdogo wa ubunge katika majimbo ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam na Siha mkoani..

KAMATA 5 USIZOZIJUA KUHUSU BAUNSA WA DIAMOND PLATNUMZ

NA CHRISTOPHER MSEKENA SUALA ya ulinzi halina mjadala kwa watu maarufu kwani humuweka msanii kwenye nafasi nzuri zaidi ya usalama anapokuwa..

KWANINI WAPIGAKURA WANAPUNGUA?

NA MARKUS MPANGALA | MATOKEO ya uchaguzi mdogo wa ubunge katika majimbo ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam na Siha mkoani..