HABARI ZILIZOTUFIKIA

Kariakoo walia utitiri wa kodi

FRANK KAGUMISA(SAUT) na TUNU NASSOR – Dar es Salaam WAFANYABIASHARA wa Kariakoo, Dar es Salaam, wameiomba Serikali kuweka wazi  ukokotoaji wa kodi kwa mizigo inayoagizwa...

SIASA

Tume ya uchaguzi yamshukia Mbowe

Na ANDREW MSECHU-DAR ES SALAAM MKURUGENZI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Athuman Kihamia amemtaka Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amuombe radhi ndani ya...

Walimu kutoka Marekani wajitolea kufundisha Hisabati, Sayansi nchini

Susan Uhinga, Korogwe Serikali imewataka wananchi kuwapokea na kuwapa ushirikiano walimu wa kujitolea kutoka katika Shirika la Huduma za kujitolea la Marekani la Peace Corps,...

TUFUATE MITANDAONI

66,560FansLike
31,430FollowersFollow
0SubscribersSubscribe

BIASHARA NA UCHUMI

- Advertisement -

MAONI

Machinga jalini usalama wenu kwanza fedha baadae

 Na Frank Kagumisa (SAUT) UKOSEFU wa ajira umewafanya watu  wengi kujihusisha na shughuli ndogo ndogo ili kujiingizia kipato. Hakuna kulala, hivi ndivyo unavyoweza kusema hasa ukipita...

BUNGENI

NDUGAI: BUNGE SI LA VIJANA

Na ESTHER MBUSSI-DODOMA SPIKA wa Bunge, Job Ndugai, amewasilisha bungeni takwimu za umri na kiwango cha elimu cha wabunge wote ambapo wenye Shahada za Uzamivu...

KANGI AWAKINGIA KIFUA POLISI MAUAJI YA RAIA

Na ESTHER MBUSSI-DODOMA Waziri  wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amesema anashangaa kwa nini wananchi huchukua hatua ya kuchoma kituo cha polisi   inapodaiwa...

LUGOLA AWAHOJI WANANCHI: KWANINI WANAOFARIKI WAKIJAMIIANA HAMCHOMI MOTO VITANDA VYAO?

Mwandishi Wetu, Dodoma Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amesema anashangaa kwanini wananchi huchukua hatua ya kuchoma Kituo cha Polisi pindi inapodaiwa...

NDUGAI ATAKA MAWAZIRI KUWAJIBU WAPINZANI KWENYE MITANDAO

 Na ESTHER MBUSSI,DODOMA Spika wa Bunge, Job Ndugai, amesema imekuwa kawaida kwa wabunge wa upinzani kuchokoza Serikali kwa kuuliza maswali bungeni kisha kutoka nje na...

AFYA NA JAMII

- Advertisement -

MICHEZO

UCHAGUZI MDOGO WA VIONGOZI BODI YA LIGI KUFANYIKA NOVEMBA 17

Bethsheba Wambura, Dar es Salaam Uchaguzi mdogo wa kamati ya Uongozi (Management Committee) ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara kujaza nafasi zilizo wazi utafanyika...

TAIFA STARS KUKIPIGA CAPE VERDE OKTOBA 12

Elizabeth Joachim, Dar es Salaam Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), itacheza mchezo wake wa kutafuta tiketi ya kufuzu Afcon dhidi ya Cape Verde...

KAGERE MCHEZAJI BORA WA AGOSTI LIGI KUU

 Bethsheba Wambura, Dar es Salaam Mshambuliaji wa timu ya Simba ya Dar es Salaam, Meddie Kagere amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Agosti  Ligi Kuu ya...