HABARI ZILIZOTUFIKIA

NSSF, NBC kuendeleza uhusiano wa kibiashara

Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) na  Benki ya NBC zimekubaliana kuendeleza na kukuza uhusiano wa kibiashara. Hatua hiyo...

SIASA

Tume ya uchaguzi yamshukia Mbowe

Na ANDREW MSECHU-DAR ES SALAAM MKURUGENZI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Athuman Kihamia amemtaka Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amuombe radhi ndani ya...

Walimu kutoka Marekani wajitolea kufundisha Hisabati, Sayansi nchini

Susan Uhinga, Korogwe Serikali imewataka wananchi kuwapokea na kuwapa ushirikiano walimu wa kujitolea kutoka katika Shirika la Huduma za kujitolea la Marekani la Peace Corps,...

TUFUATE MITANDAONI

66,606FansLike
31,465FollowersFollow
0SubscribersSubscribe

BIASHARA NA UCHUMI

- Advertisement -

MAONI

Machinga jalini usalama wenu kwanza fedha baadae

 Na Frank Kagumisa (SAUT) UKOSEFU wa ajira umewafanya watu  wengi kujihusisha na shughuli ndogo ndogo ili kujiingizia kipato. Hakuna kulala, hivi ndivyo unavyoweza kusema hasa ukipita...

BUNGENI

NDUGAI: BUNGE SI LA VIJANA

Na ESTHER MBUSSI-DODOMA SPIKA wa Bunge, Job Ndugai, amewasilisha bungeni takwimu za umri na kiwango cha elimu cha wabunge wote ambapo wenye Shahada za Uzamivu...

KANGI AWAKINGIA KIFUA POLISI MAUAJI YA RAIA

Na ESTHER MBUSSI-DODOMA Waziri  wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amesema anashangaa kwa nini wananchi huchukua hatua ya kuchoma kituo cha polisi   inapodaiwa...

LUGOLA AWAHOJI WANANCHI: KWANINI WANAOFARIKI WAKIJAMIIANA HAMCHOMI MOTO VITANDA VYAO?

Mwandishi Wetu, Dodoma Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amesema anashangaa kwanini wananchi huchukua hatua ya kuchoma Kituo cha Polisi pindi inapodaiwa...

NDUGAI ATAKA MAWAZIRI KUWAJIBU WAPINZANI KWENYE MITANDAO

 Na ESTHER MBUSSI,DODOMA Spika wa Bunge, Job Ndugai, amesema imekuwa kawaida kwa wabunge wa upinzani kuchokoza Serikali kwa kuuliza maswali bungeni kisha kutoka nje na...

AFYA NA JAMII

- Advertisement -

MICHEZO

Arsenal wamkumbuka Arsene Wenger

LONDON, ENGLAND ALIYEKUWA beki wa kati wa klabu ya Arsenal, Per Mertesacker, amefunguka na kusema, wachezaji walichangia kumwangusha aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Arsenal Wenger,...

Familia yaingilia Ronaldo kuoneshwa kadi nyekundu

TURIN, ITALIA BAADA ya nyota wa soka duniani kutoka klabu ya Juventus, Cristiano Ronaldo kuoneshwa kadi nyekundu katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi...

Simba yakwama kwa Mbao

   Na MASYENENE DAMIAN-MWANZA               |          MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, timu ya soka...