HABARI ZILIZOTUFIKIA

Mtoto wa Kylie aonyeshwa kwa mara ya kwanza KUWTK

LOS ANGELES, MAREKANI MTOTO wa mwanamitindo wa Marekani, Kylie Jenner, Stormi, ameonekana kwa mara ya kwanza katika tamthiliya inayohusu maisha ya familia ya Kardashian. Uamuzi huo...

SIASA

BOB WINE ATEMA CHECHE

WAKISO, UGANDA HATIMAYE Mbunge wa Jimbo la Kyadondo Mashariki, Robert Kyagulanyi ambaye ni mwanamuziki maarufu anayefahamika kwa jina la Bob Wine, amewaambia ukweli wananchi juu...

Tume ya uchaguzi yamshukia Mbowe

Na ANDREW MSECHU-DAR ES SALAAM MKURUGENZI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Athuman Kihamia amemtaka Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amuombe radhi ndani ya...

TUFUATE MITANDAONI

66,755FansLike
31,618FollowersFollow
0SubscribersSubscribe

BIASHARA NA UCHUMI

- Advertisement -

MAONI

Machinga jalini usalama wenu kwanza fedha baadae

 Na Frank Kagumisa (SAUT) UKOSEFU wa ajira umewafanya watu  wengi kujihusisha na shughuli ndogo ndogo ili kujiingizia kipato. Hakuna kulala, hivi ndivyo unavyoweza kusema hasa ukipita...

BUNGENI

NDUGAI: BUNGE SI LA VIJANA

Na ESTHER MBUSSI-DODOMA SPIKA wa Bunge, Job Ndugai, amewasilisha bungeni takwimu za umri na kiwango cha elimu cha wabunge wote ambapo wenye Shahada za Uzamivu...

KANGI AWAKINGIA KIFUA POLISI MAUAJI YA RAIA

Na ESTHER MBUSSI-DODOMA Waziri  wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amesema anashangaa kwa nini wananchi huchukua hatua ya kuchoma kituo cha polisi   inapodaiwa...

LUGOLA AWAHOJI WANANCHI: KWANINI WANAOFARIKI WAKIJAMIIANA HAMCHOMI MOTO VITANDA VYAO?

Mwandishi Wetu, Dodoma Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amesema anashangaa kwanini wananchi huchukua hatua ya kuchoma Kituo cha Polisi pindi inapodaiwa...

NDUGAI ATAKA MAWAZIRI KUWAJIBU WAPINZANI KWENYE MITANDAO

 Na ESTHER MBUSSI,DODOMA Spika wa Bunge, Job Ndugai, amesema imekuwa kawaida kwa wabunge wa upinzani kuchokoza Serikali kwa kuuliza maswali bungeni kisha kutoka nje na...

AFYA NA JAMII

- Advertisement -

MICHEZO

tff yasaka mbunifu wa nembo ya afcon

Na Elizabeth Joachim Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza shindano kwa wabunifu wa watakaoweza kubuni Nembo maalumu (Mascot) itakayotumika katika fainali za vijana...

Simba, Yanga katika mtihani

Na MOHAMED KASSARA-DAR ES SALAAM VIGOGO wa soka nchini, timu za Simba na Yanga, leo zitashuka katika viwanja tofauti kusaka pointi tatu katika michezo ya...

DIAMOND, MORGAN HERITAGE WAINGIA TENA JIKONI

BAADA ya kufanya vizuri na wimbo Hallelujah miezi 11 iliyopita, staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz na kundi maarufu kutoka  Jamaica, Morgan Heritage  wapo...