WAKILI DK.TENGA KIZIMBANI KWA KUTAKATISHA FEDHA

KESI: Wakili Maarufu wa kujitegemea Dk. Ringo Tenga (kulia) na aliyewahi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Rasilimali Tanzania (TIB), Peter Noni (wa pili kulia) na wenzake wakiwa katika Mahakama ya More...

by Mtanzania Digital | Posted 4 hours ago

MAELFU WAFURIKA KUPATA MATIBABU YA BURE

MATIBABU: Wakazi wa Dar es Salaam wakiwa katika foleni ya kuandikisha majina kuingia kwenye Meli ya Ark of Peace kutoka China ili kupata matibabu bure katika Bandari jana. Picha More...

WAKILI DK.TENGA KIZIMBANI KWA KUTAKATISHA FEDHA

KESI: Wakili Maarufu wa kujitegemea Dk. Ringo Tenga (kulia) na aliyewahi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Rasilimali Tanzania (TIB), Peter Noni (wa pili kulia) na wenzake More...

‘SCORPION’ AANZA KUJITETEA MAHAKAMANI

Na FARAJA MASINDE-DAR ES SALAAM  SALUM Njwete maarufu kama ‘Scorpion’ (35) ameiomba Mahakama ya Wilaya ya Ilala kumwachia huru kwa madai kuwa hahusiki na unyang’anyi More...

MADIWANI WAASWA KUACHA USANII

Na PETER FABIAN MADIWANI wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza Wilaya ya Nyamagana   wametakiwa kuacha usanii wa kuendekeza mgogoro     baina yao na  Meya wa Jiji hilo, James More...

SHULE 10 ZAFUNGIWA KWA KUTOKAMILISHA USAJILI

    Na DERICK MILTON – BARIADI HALMASHAURI ya Mji wa Bariadi   imezifungia shule 10 zinazodaiwa kujiendesha kinyemela. Shule hizo zinadaiwa kutoa mafunzo kwa watoto More...

SHEIN AIPA MAELEKEZO WIZARA YA AFYA

Na MWANDISHI WETU-ZANZIBAR RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, ameutaka uongozi More...

WAZIRI AKIMBIA KIBANO MSHAHARA MPYA Z’BAR

Na MwandishiWetu -ZANZIBAR SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imeahirisha mkutano na Jumuiya ya Wawekezaji More...

BEKI SIMBA AWACHONGEA NGOMA, TAMBWE

Na ZAINAB IDDY, DAR ES SALAAM BEKI wa zamani wa Simba, Fikiri Magoso, ni kama ameisajilia...

KOCHA YANGA AITUMIA UJUMBE MZITO SIMBA

Na ZAINAB IDDY, DAR ES SALAAM BAADA ya kuvuna ushindi mnono wa mabao 5-0 dhidi ya...

BAO LA POGBA ZAWADI KWA WATUMWA LIBYA

MANCHESTER, ENGLAND KUINGO wa mshambuliaji wa klabu ya Manchester United, Paul Pogba, baada ya juzi kufanikiwa...

KORTI YAIDHINISHA USHINDI WA KENYATTA

Nairobi, Kenya MAHAKAMA Kuu ya Kenya imeidhinisha ushindi wa Rais Uhuru Kenyatta baada ya kutupilia mbali mapingamizi More...

HATIMA YA MUGABE MIKONONI MWA BUNGE LEO

HARARE, ZIMBABWE MCHAKATO wa kumng’oa Rais Robert Mugabe umeanza jana asubuhi na ramani ikichorwa namna ya kumfukuza kikatiba kwa kura ya..

ODINGA AJICHIMBIA ZANZIBAR, KENYATTA AJIANDAA KUAPISHWA

Na Mwandishi wetu WAKATI Mahakama ya Juu ya Kenya ikitoa hukumu iliyobariki ushindi wa Rais Uhuru Kenyatta, mpinzani wake Raila Odinga,..

MAOFISA WA KUDHIBITI DAWA ZA KULEVYA KUANZA KUTUMIA SILAHA ZA MOTO

GABRIEL MUSHI NA ESTHER MBUSSI -DODOMA BUNGE limepitisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Kudhibiti na Kupambana More...

WABUNGE WAUKATAA MUSWADA WA MELI KISA JINA

  Na Mwandishi Wetu Wabunge wamevutana kupitisha Muswada wa Sheria ya Wakala wa Meli wa Taifa wa mwaka 2017 kutokana na..

BUNGE LAPITISHA MUSWADA WA MAREKEKIBISHO  YA SHERIA

  Na ESTHER MBUSSI -DODOMA BUNGE limepitisha muswada wa sheria tano zilizofanyiwa marekebisho zikiwamo Sheria za Mikataba ya Maliasili na Rasilimali..

RAIS MAGUFULI KUFUTA MATUMIZI YA DOLA NCHINI NI SAHIHI

Na Shermarx Ngahemera KWA Watanzania wa umri wa makamo  watakumbuka Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikuwa anaziita fedha zetu..

WAGOMBEA WILAYA SITA CCM HAWA HAPA

Na MWANDISHI WETU-DAR ES SALAAM CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimefanya uteuzi wa majina ya wagombea uenyekiti wa wilaya sita. Hatua hiyo..

NI WAPI CECAFA WANAPOKOSEA? (1)

Na WAANDISHI WETU -DAR ES SALAAM MASHINDANO ya soka kwa nchi za Afrika mashariki na Kati maarufu kama CECAFA yalianzishwa mwaka..

SELENA AFUTA PICHA ZA THE WEEKND

NEW YORK, MAREKANI NYOTA wa muziki na filamu nchini Marekani, Selena Gomez, amezidi kuthibitisha kuwa ameachana na mpenzi wake, The Weeknd,..

NI WAPI CECAFA WANAPOKOSEA? (1)

Na WAANDISHI WETU -DAR ES SALAAM MASHINDANO ya soka kwa nchi za Afrika mashariki na Kati maarufu kama CECAFA yalianzishwa mwaka..

Polls

How Is My Site?

View Results

Loading ... Loading ...

Translate »