Kikwete awaita Ukawa Ikulu

Rais Jakaya Kikwete

Rais Jakaya Kikwete NA WAANDISHI WETU, MOROGORO NA DODOMA RAIS Jakaya Kikwete amesema yupo tayari kukutana na viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), ili kunusuru mchakato wa Katiba mpya. Kauli More...

by france | Posted 2 siku tangu habari iwekwe

Kikwete awaita Ukawa Ikulu

Rais Jakaya Kikwete

Rais Jakaya Kikwete NA WAANDISHI WETU, MOROGORO NA DODOMA RAIS Jakaya Kikwete amesema yupo tayari kukutana na viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), ili kunusuru mchakato More...

Magufuli adai anawindwa

Waziri John Magufuli

Waziri John Magufuli NA JOHN MADUHU, MWANZA WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, ameibuka na kusema kuwa anawindwa na mahasimu wake kwa kumbeza baada ya Mahakama Kuu kuwaachia More...

Wauaji wa wanawake Arusha mbaroni

Arusha Town

Arusha Town ELIYA MBONEA NA EDITHA EDWARD, ARUSHA JESHI la Polisi Mkoa wa Arusha limewatia mbaroni watu saba wanaodaiwa kuhusika na mauaji ya wanawake pamoja na uporaji wa kutumia More...

Jiji la Mwanza

Wafanyabiashara Mwanza wagoma

Jiji la Mwanza SITTA TUMMA NA PETER FABIAN, MWANZA WAFANYABIASHARA jijini hapa wamegoma. Mgomo huo ulianza jana asubuhi baada ya wafanyabiashara hao kusitisha huduma zote kwa kile More...

Mvua yaua sita Mwanza, Kagera

Baadhi ya wakazi wa Mwanza wakiangalia nyumba iliyoporomokewa na mwamba katika Mtaa wa Nyerere A Sinai-Mabatini jana. SITTA TUMMA NA RENATHA KIPAKA WATU sita wamefariki dunia More...

Mahakama: Mansour ana haki ya dhamana

Aliyekuwa Mwakilishi wa Kiembe Samaki, Mansour Yusuf Himid

Aliyekuwa Mwakilishi wa Kiembe Samaki, Mansour Yusuf Himid Na Is-haka Omar, Zanzibar MAHAKAMA Kuu ya Zanzibar, imesema haina More...

Mkakati mzito Zanzibar 2015

mtanzania

mtanzania NA MWANDISHI WETU, PEMBA CHAMA cha Wananchi (CUF) kipo hatarini kupoteza nguvu yake visiwani Zanzibar, More...

Rais Jakaya Kikwete Kikwete kuwaleta Ronaldo, Messi

Na Abducado Emmanuel, Dar es Salaam BAADA ya ujio wa magwiji wa zamani wa timu ya...

Katibu wa CECAFA, Nicholas Musonye Cecafa yachemka kuipa adhabu Yanga

Na Zaituni Kibwana, Kigali BARAZA la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), limeshindwa kuipa...

Kocha Mkuu wa Azam FC, Joseph Omog Omog ataka mbili za majaribio kabla ya Yanga

NA ZAITUNI KIBWANA KOCHA Mkuu wa Azam FC, Joseph Omog, ametaka mechi mbili za majaribio kabla...

Mke wa Mugabe apewa uongozi ZANU-PF

Mke wa Rais wa Zimbabwe, Grace Mugabe

Mke wa Rais wa Zimbabwe, Grace Mugabe HARARE, ZIMBABWE MKE wa Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe, Grace Mugabe, More...

Mkakati mzito Zanzibar 2015

NA MWANDISHI WETU, PEMBA CHAMA cha Wananchi (CUF) kipo hatarini kupoteza nguvu yake visiwani Zanzibar, kutokana na kile kinachodaiwa kuwa ni..

Ndege ya Tanzania yavinjari Somalia

NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM NDEGE ya Tanzania inayomilikiwa na Shirika la Ndege la ATCL, imetua nchini Somalia huku hofu..

Posho za Bunge kaa la moto

Bunge

Bunge NA MWANDISHI WETU, DODOMA OFISI ya Bunge Maalumu la Katiba mjini Dodoma, imetoa ufafanuzi juu ya taarifa More...

Bunge la EAC kuanza kesho Dar

NA SHABANI MATUTU BUNGE la tatu la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA), linatarajiwa kufanyika kesho na kumalizika Septemba 5, mwaka huu..

Wananchi watengwa Katiba Mpya

Na Mwandishi Wetu, Dodoma NI siku ya 14 sasa tangu wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba walipokutana kwa awamu ya pili..

Magufuli aangukia pua

Waziri John Magufuli Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia huru Wachina wa ‘samaki wa Magufuli’ na kuamuru Jamhuri..

Arfi kupinga Bunge la Katiba mahakamani

Mbunge wa Mpanda Mjini, Said Arfi Na Elizabeth Hombo, Dodoma MBUNGE wa Mpanda Mjini, Said Arfi (Chadema), amesema ana mpango wa kwenda mahakamani ili kupata ufafanuzi wa..
Kundi la Al-shabaab

‘Vikundi vya kigaidi Somalia hatari kwa Afrika’

Na Fredy Azzah, Dar es Salaam MWAKILISHI wa Umoja wa Mataifa (UN) nchini Somalia, Balozi Augustine Mahiga, amesema kuna mtandao wa..
Mwigizaji wa filamu nchini, Emmanuel Myamba

Minoti ya zawadi yamchanganya Pastor Myamba

NA PAULINA LYAPA (TUDARCO) MWIGIZAJI wa filamu za bongo, Emmanuel Myamba, maarufu kwa jina la Pastor Myamba, amesema hakutegemea kupata kiasi..
Kundi la Al-shabaab

‘Vikundi vya kigaidi Somalia hatari kwa Afrika’

Na Fredy Azzah, Dar es Salaam MWAKILISHI wa Umoja wa Mataifa (UN) nchini Somalia, Balozi Augustine Mahiga, amesema kuna mtandao wa..