LISSU AENDA RUMANDE NA FULANA YA UKUTA

*Anatetewa na mawakili 18 wakiongozwa na mtoto wa Karume *Mawakili wa Serikali wapinga asipewe dhamana Na Waandishi Wetu-DAR ES SALAAM MBUNGE wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema),  amefikishwa More...

by Mtanzania Digital | Posted 12 hours ago

UMMY MWALIMU AMSIMAMISHA KAZI MGANGA MKUU MLANDIZI

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Ummy Mwalimu, amemsimamisha kazi Mganga Mkuu Mfawidhi wa Kituo cha Afya Mlandizi, Stanley Tamambele ya kwa kushindwa kuwasimamia More...

TCU YAFUTA UDAHILI KWA VYUO 19 NCHINI

Tume ya Vyuo vikuu (TCU) imevifutia udahili vyuo 19 na kufuta kozi 75 katika vyuo  22 kwa kukiuka Sheria taratibu na kanuni za utoaji wa elimu ya juu hapa nchini. Ofisa Habari More...

‘WANAOTUMIA VIBAYA MITANDAO YA KIJAMII KUKIONA’

SERIKALI imesema inajipanga kukabiliana na matumizi mabaya ya mtandao ikiwa ni pamoja na kuwachukulia hatua za kisheria wanaotumia vibaya. Akizungumza katika majadiliano ya More...

DC AWAONYA WANAOTUMIA MIZANI FEKI KWA WAVUVI

  Na SAMWEL MWANGA MKUU wa Wilaya ya Busega, Tano Mwera ameagiza kukamatwa kwa wafanyabiashara wanaotumia mizani  bandia katika shughuli  za uvuvi kando ya Ziwa Victoria More...

MWIGULU AWAONYWA WANAOMBEZA RAIS  

  Na PETER FABIAN WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, amewataka watanzania kuunga mkono kwa dhati juhudi za Rais Dk John Magufuli katika mapambano dhidi More...

MTIKISIKO WA UTALII: WAZIRI WA DK. SHEIN AKAANGWA Z’BAR

Watalii wakiwa visiwani Zanzibar NA PATRICIA KIMELEMETA-DAR ES SALAAM SIKU  chache baada ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar More...

WAZEE WAKUMBUKWA ZANZIBAR

Mkurugenzi wa Shirika la Kimataifa la Kusaidia Wazee, Smart Daniel Na MWAJUMA JUMA-ZANZIBAR MABADILIKO ya kweli More...

KUSHUHUDIA PAMBANO LA MAYWEATHER MIL 21/-

 LAS VEGAS, MAREKANI PAMBANO la bingwa wa ngumi za uzito wa juu, Floyd Mayweather na mpinzani...

MESSI, SUAREZ WAMPIGIA GOTI NEYMAR

BARCELONA, Hispania KLABU ya Barcelona imedhamiria kumbakisha nyota wake, Neymar Jr, kwa kuwatumia nyota wake; Lionel...

KLOPP: COUTINHO HAENDI KOKOTE

LONDON, England KOCHA wa timu ya Liverpool, Jurgen Klopp, amesema nyota wake, Philippe Coutinho, ni mchezaji...

KASHFA YA UPENDELEO YASHUSHA UMAARUFU WA ABE

TOKYO, JAPAN KASHFA ya kumpendelea rafiki yake wa muda mrefu, inaonekana kuathiri umaarufu wa Waziri Mku wa More...

GRACA  KUMSHTAKI DAKTARI WA MANDELA

MAPUTO, MSUMBIJI MJANE wa aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini Nelson Mandela, Graca Machel, amesema atamshtaki daktari wa Mandela, kutokana na taarifa..

UHURU: TANZANIA HAIJATUACHA NYUMA USAFIRI WA UMMA

NAIROBI, KENYA RAIS Uhuru Kenyatta alijibu maswali ya mashabiki katika ukurasa wake wa Facebook juzi asubuhi, ambapo pamoja na mambo mengine..

MBUNGE AOMBA KIBITI IPATIWE UMEME

MBUNGE wa Kibiti, Ally Ungando (CCM) NA RAMADHANI HASSAN, MBUNGE wa Kibiti, Ally Ungando (CCM), ameiomba Serikali More...

MBUNGE CCM AZUA TAFRANI

Na MWANDISHI WETU-DODOMA MBUNGE wa Viti Maalumu, Juliana Shonza (CCM), amenusurika kipigo kutoka kwa wabunge wenzake wa upinzani baada ya kudaiwa..

WAPINZANI WATAKA RAIS APUNGUZIWE MAMLAKA

Na KULWA MZEE-DODOMA WABUNGE wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, wamependekeza Rais apunguziwe mamlaka katika umiliki wa maliasili za nchi. Wamesema..

NDEGE YA MAKAMU WA RAIS AFGHANISTAN YAZUIWA KUTUA

KABUL, AFGHANISTAN NDEGE iliyokuwa imembeba Makamu wa Rais wa Afghanistan, Abdul Rashid Dostun ilizuiwa kutua Uwanja wa Ndege wa Mazar-e Sharrif..

KODI MAJENGO SI VILE, MTAZAMO MPYA WAHITAJIKA 

Na Mwandishi Wetu PAMOJA na kuongeza muda mara mbili juu ya ulipaji kodi ya majengo, sasa ni wazi kodi hiyo inachoweza..

BEN POL KUFANYA ‘COLABO’ NA TREY SONGZ

NA JESSCA NANGAWE MKALI wa muziki wa RnB nchini, Bernad Paul ‘Ben Pol’, anatarajia kufanya kazi na mkali wa muziki huo..

KODI MAJENGO SI VILE, MTAZAMO MPYA WAHITAJIKA 

Na Mwandishi Wetu PAMOJA na kuongeza muda mara mbili juu ya ulipaji kodi ya majengo, sasa ni wazi kodi hiyo inachoweza..

Polls

How Is My Site?

View Results

Loading ... Loading ...

Translate »