Tibaijuka atibua hasira za wananchi

Tibaijuka

NA EVANS MAGEGE KAULI iliyotolewa na aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, mbele ya Baraza la Maadili lililoketi kumhoji juu ya mgawo wa fedha za Escrow, kuwa More...

by france | Posted 20 hours ago

Ndege ya JWTZ yaanguka Mwanza

Na Mwandishi Wetu, NDEGE ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) imeanguka jana katika eneo la Uwanja wa Ndege wa Kijeshi wa Mwanza wakati ikifanya mazoezi. Akitoa taarifa More...

Dk. Migiro ataka albino wasajiliwe

Roe migiro

NA EVANS MAGEGE WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk. Asha-Rose Migiro, ameiagiza Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA), kuwasajili watu wote wenye ulemavu wa ngozi nchini More...

Prof. Muhongo agoma kuzungumzia urais

profesa Muhongo

NA EVANS MAGEGE SIKU chache baada ya wazee wa Wilaya ya Musoma, na jana tena baadhi ya viongozi wa mashina na matawi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) jijini Dar es Salaam kumtaka More...

Deo-Filikunjombe

Filikunjombe: Ziwa Nyasa lipo salama

Na Mwandishi Wetu, Ludewa MBUNGE wa Ludewa, Deo Filikunjombe (CCM), amewataka wananchi wanaoishi mwambao wa Ziwa Nyasa kufanya shughuli zao, kwani mazungumzo ya kutafuta amani More...

Mafutiko yatikisa Mwanza

Jiji la Mwanza BENJAMIN MASESE NA ABUBAKARI AKIDA, MWANZA MVUA kubwa inayoendelea kunyesha mkoani Mwanza, imesababisha maafa makubwa yakiwamo ya watu kukosa sehemu za kujihifadhi, More...

Kigogo CCM afia mkutanoni

salmin

Na Is-haka Omar, Zanzibar MWAKILISHI wa Magomeni visiwani Zanzibar, Salmin Awadhi Salmin (CCM), amefariki dunia ghafla baada More...

Majambazi yatikisa Zanzibar

mtz1

Na Mwadishi Wetu, Zanzibar MAJAMBAZI yametikisa viunga vya Mtaa wa Darajani kisiwani Zanzibar na kusimamisha shughuli More...

yang Azam, Yanga katika mtihani mwingine VLP

ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom, Azam FC na Yanga...

Rekodi ya 2010/11 huenda ikajirudia

NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM LIGI Kuu ya Vodacom msimu huu imekuwa na utata mkubwa...

azam Azam kukabiliana na hujuma za Merreikh

NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Azam...

Mtandao: Walioficha fedha nje wafichuliwe

Elias Msuya na mashirika ya habari MTANDAO wa ONE wenye makao yake nchini Afrika Kusini umewataka Waafrika Kuungana More...

Kikwete, Kagame ana kwa ana

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam RAIS Jakaya Kikwete pamoja na Rais wa Rwanda, Paul Kagame wamekutana ana kwa ana nchini..

UN yaingilia kati mauaji ya albino Tanzania

GENEVA, USWISI KAMISHNA wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa (UN), Zeid Ra’ad Al Hussein, ameitaka Serikali ya Tanzania kuchunguza..

Nisha kuwapa elimu ya maisha mashabiki

nisha

NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM MWIGIZAJI wa filamu nchini, Salma Jabu ‘Nisha’, amesema anatarajia kuachia More...

Pinda: Uamuzi wa madiwani Chadema umeshatolewa

Na Debora Sanja, Dodoma UAMUZI kuhusu hatma ya madiwani watatu wa Chadema katika Manispaa ya Ilemela waliofukuzwa na Meya wa Manispaa..

NEC yaagizwa ikutane na vyama vya siasa

Na Maregesi Paul, Dodoma BUNGE limeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ikutane na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), kuangalia namna..

Tibaijuka atibua hasira za wananchi

Tibaijuka NA EVANS MAGEGE KAULI iliyotolewa na aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, mbele ya Baraza..

Prof. Muhongo agoma kuzungumzia urais

profesa Muhongo NA EVANS MAGEGE SIKU chache baada ya wazee wa Wilaya ya Musoma, na jana tena baadhi ya viongozi wa mashina na..

Shule ya Msingi Mailimoja taabani, yahitaji msaada wa haraka

NA GUSTAPHU HAULE, PWANI SHULE ya Msingi Mailimoja iliyopo Kibaha mkoani Pwani ni miongoni mwa shule ambazo zinapoteza umaarufu wa Mji..
h-baba na flora

H. Baba: Tunazaa kwa mipango na Flora

NA ZAINAB IDDY, DAR ES SALAAM STAA wa Bongo Fleva, Hamis Ramadhan ‘H. Baba’, ni kama amejibu maneno yaliyokuwa yakizungumzwa na..

Shule ya Msingi Mailimoja taabani, yahitaji msaada wa haraka

NA GUSTAPHU HAULE, PWANI SHULE ya Msingi Mailimoja iliyopo Kibaha mkoani Pwani ni miongoni mwa shule ambazo zinapoteza umaarufu wa Mji..