JPM: Walioua familia wakamatwe haraka  

1

*Ataka wananchi wamwabudu Mungu maovu kama hayo yasitokee Anna Luhasha na Judith Nyange, Sengerema RAIS Dk. John Magufuli amesema amesikitishwa na mauaji ya kinyama ya watu saba wa familia moja waliokatwa More...

by france | Posted 2 weeks ago

Mzimu wa GPA waibuka bungeni  

Profesa Joyce Ndalichako

Na Elizabeth Hombo, Dodoma SERIKALI imesema itaendelea kuvitambua vyeti vya wanafunzi waliomaliza na kupangiwa madaraja katika mfumo wa GPA licha ya kurudi katika mfumo wa divisheni More...

Polisi wageuza sukari dili

sukari

JONAS MUSHI NA TUNU NASSORO, DAR WAFANYABIASHARA   Dar es Salaam wamewalalamikia baadhi ya polisi kuwanyanyasa kwa kisingizio cha kutafuta sukari iliyofichwa. Wakizungumza More...

Mbuzi wa tambiko aua watu watano wa familia moja  

NA WAANDISHI WETU VILIO, simanzi na hofu vimetanda kwa wakazi wa Kitongoji cha Lotii, Kijiji cha Mwitikira, Tarafa ya Olboloti, Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara baada ya watu More...

20150810_182328

Hofu ya Ebola yatanda nchini

NA EDITHA KARLO, KIGOMA RAIA wa Burundi aliyetambulika kwa jina la Buchumi Joel (39), amefariki dunia baada ya kuugua ugonjwa wenye dalili sawa na Ebola, ikiwa ni pamoja na kutokwa More...

Lowassa atesa kanda ya Ziwa

Na Waandishi Wetu WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ameendelea kutesa katika mikoa ya Kanda ya Ziwa anakopita kutafuta wadhamini akitafuta kuteuliwa mgombea urais kupitia More...

Maalim Seif amkamia Dk. Shein

Seif_Sharif_Hamad

Na Kulwa Mzee, Zanzibar KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad ameiomba Jumuiya ya Kimataifa na More...

Dk. Shein aizika rasmi Serikali ya Umoja wa Kitaifa

shein

* Hamad Rashid, Amina Salum, Balozi Karume wateuliwa uwakilishi NA MWANDISHI WETU, ZANZIBAR RAIS wa Zanzibar na More...

Michezo ya jadi wakabidhi rasimu BMT

NA WINFRIDA NGONYANI, DAR ES SALAAM BARAZA la Michezo la Taifa (BMT) limepokea mapendekezo ya jina...

Nadir Haroub ‘Cannavaro ‘Cannavaro’: Ushindi umetupa raha ya ubingwa

NA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM NAHODHA wa timu ya soka ya Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’,...

wambura Wambura apitishwa kugombea FAM

NA SHOMARI BINDA, MUSOMA KAMATI ya Uchaguzi ya Chama cha Soka Mkoa wa Mara (FAM), imempitisha...

Etihad yazindua jumba la kupumzikia abiria

Etihad_Airways

MELBOURNE, AUSTRALIA SHIRIKA la Ndege la Etihad juzi lilifungua rasmi jumba lao jipya la kifahari la kupumzikia More...

Tsvangirai: Fedha mpya si suluhu kiuchumi

HARARE, ZIMBABWE KIONGOZI wa chama cha upinzani nchini Zimbabwe, Movement for Democratic Change (MDC) kinachoongozwa na Morgan Tsvangirai, amesema kuanzishwa kwa..

Rais Buhari ahamaki kuitwa fisadi

ABUJA, NIGERIA RAIS wa Nigeria, Muhammadu Buhari, amesema amepigwa butwaa na matamshi ya kushtusha na ya aibu ya Waziri Mkuu wa..

Mzimu wa GPA waibuka bungeni  

Profesa Joyce Ndalichako

Na Elizabeth Hombo, Dodoma SERIKALI imesema itaendelea kuvitambua vyeti vya wanafunzi waliomaliza na kupangiwa More...

Bashe awasha moto bungeni

Na Bakari Kimwanga, Dodoma WABUNGE wameendelea kuchangia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,..

Serikali kukagua dawa kuanzia bandari

Na Bakari Kimwanga, Dodoma WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, imetangaza mkakati wa   ukaguzi wa dawa    zinapoingia..

CUF: Hatumtambui Dk. Shein Z’bar

024 Na Mwandishi Wetu, Zanzibar CHAMA cha Wananchi (CUF), kimetangaza kuwa hakimtambui Rais mteule wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, aliyetangazwa mshindi..
Photo of Bob Marley

Bob Marley tutaendelea kukukumbuka daima

WAKATI tukikumbuka kifo cha mfalme wa muziki wa reggae, Robert Nesta ‘Bob Marley’, aliyefariki Mei 11, 1981 huko Miami, muziki wa..
Photo of Bob Marley

Bob Marley tutaendelea kukukumbuka daima

WAKATI tukikumbuka kifo cha mfalme wa muziki wa reggae, Robert Nesta ‘Bob Marley’, aliyefariki Mei 11, 1981 huko Miami, muziki wa..
Photo of Bob Marley

Bob Marley tutaendelea kukukumbuka daima

WAKATI tukikumbuka kifo cha mfalme wa muziki wa reggae, Robert Nesta ‘Bob Marley’, aliyefariki Mei 11, 1981 huko Miami, muziki wa..