Marekani yaipa kibano Tanzania

MTZ IJUMAA new1.indd

*Yaitaka Serikali itoe maelezo uchaguzi Zanzibar, sheria ya mtandao *Yatishia kusitisha msaada wa trilioni moja za MCC   NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM MFUKO wa Changamoto za Milenia (MCC) wa Marekani More...

by france | Posted 4 hours ago

Baraza jipya la mawaziri laiva

pombe

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam RAIS Dk. John Magufuli, wakati wowote anatarajiwa kutangaza Baraza la Mawaziri baada ya kukamilisha wiki kadhaa za kuchuja majina ya wanaofaa kuwa More...

‘Kadi za Christmas, mwaka mpya marufuku’

sefue

NA JONAS MUSHI, DAR ES SALAAM KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, amepiga marufuku utengenezaji na uchapishaji wa kadi za Sikukuu ya Christmas na Mwaka mpya kwa gharama More...

Chadema yaibwaga polisi kesi ya marehemu Mawazo

Picha ya Mawazo (2)

NA BENJAMIN MASESE, MWANZA MAHAKAMA Kuu Kanda ya Mwanza, imetupa zuio la Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, RPC Charles Mkumbo kuzuia kuagwa mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa More...

20150810_182328

Hofu ya Ebola yatanda nchini

NA EDITHA KARLO, KIGOMA RAIA wa Burundi aliyetambulika kwa jina la Buchumi Joel (39), amefariki dunia baada ya kuugua ugonjwa wenye dalili sawa na Ebola, ikiwa ni pamoja na kutokwa More...

Lowassa atesa kanda ya Ziwa

Na Waandishi Wetu WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ameendelea kutesa katika mikoa ya Kanda ya Ziwa anakopita kutafuta wadhamini akitafuta kuteuliwa mgombea urais kupitia More...

Usiri wazidi kutawala mwafaka Zanzibar

01-maalimseif

*Dk. Shein, Maalim Seif wajichimbia mara ya tatu NA MWANDISHI WETU, ZANZIBAR MAZUNGUMZO ya kutafuta mwafaka wa mgogoro wa More...

Kufutwa uchaguzi Z’bar kaa la moto

awadh

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar UAMUZI wa Serikali wa kutoa tamko la kufutwa kwa Uchaguzi wa Zanzibar umezua maswali More...

dylanker-haiphong Kerr hawazi chochote ni Azam

KOCHA Mkuu wa klabu ya Simba, Dylan Kerr, amesema kuwa kwa sasa akili yake ameielekeza kwenye...

Jamal+Malinzi Kamati Taifa Stars yavunjwa

NA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM KAMATI ya Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, jana...

DONALD NGOMA Mamelodi kuvunja benki kwa Ngoma

*Yaanza kumfuatilia, Yanga kunufaika dili likifanikiwa ABDUCADO EMMANUEL NA JENNIFER ULLEMBO, DAR NYOTA ya mshambuliaji wa...

Octopizzo: Sitajibu ubaya kwa ubaya

octo

MSANII wa Kenya, Octopizzo amesema hatorekodi wimbo wa kuponda wabaya wake kwa kuwa kuendeleza ubaya kwa ubaya More...

Papa abariki kwa Kiswahili

NAIROBI, KENYA KIONGOZI wa Kanisa la Katoliki Duniani, Papa Francis, amewasili nchini Kenya jana jioni huku akitoa baraka kwa nchi hiyo..

Kourtney anaswa na mpenzi wa mdogo wake

LOS ANGELES, MAREKANI DADA wa Kim Kardashian, Kourtney, amejikuta akiingia katika mgogoro na mdogo wake, Khloe Kardashian, kutokana na kukutwa mara..

Frida wa BSS: Mazingira yanakwamisha wasichana kushindana

FRIDA AMANI BSS

MSHINDI wa tatu katika shindano la Bongo Star Search (BSS) 2015, Frida Aman, amesema mazingira magumu na tamaduni More...

Wabunge CUF wamshukia Ndugai

*Wadai amevunja kanuni Dk. Shein,  polisi kuingia ukumbini *Kubenea naye atangaza kumburuza mahakamani Fredy Azzah, Dar na Ramadhan Hassan, Dodoma WABUNGE wa..

Rais Magufuli aagiza mamilioni ya sherehe ya Bunge yapelekwe Muhimbili

Na Mwandishi Wetu RAIS John Magufuli ameagiza zaidi ya Sh milioni 200 zilizochangwa kwa ajili ya kugharamia hafla ya uzinduzi wa..

Home Shopping Centre yafunga biashara zake

1 NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM KAMPUNI ya Home Shopping Centre imefunga biashara zake zilizokuwa jijini Dar es Salaam na katika..

Lowassa: Sijakata tamaa

mbili *Asema ameshindwa pambano si vita *Ajipanga upya agoma kueleza mikakati yake *Ukawa wataka ZEC imtangaze Maalim Seif Z’bar Na Fredy Azzah,..
FONABO

Nassib Fonabo: Michel Teló wa ‘nosa nosa’ amenionyesha njia

Nassib Fonabo: Michel Telo wa ‘nosa nosa’ amenionyesha njia NA FESTO POLEA NAJUA unajua kwamba mshindi wa kwanza wa shindano la..
kASSIM mGANGA

Video ya ‘subira’ ya Kassim Mganga hadharani leo

NA SHARIFA MMASI BAADA ya kushambuliwa kwa maneno na mashabiki wake wakihitaji video ya wimbo wake wa ‘Subira’, msanii mahiri nchini,..
FONABO

Nassib Fonabo: Michel Teló wa ‘nosa nosa’ amenionyesha njia

Nassib Fonabo: Michel Telo wa ‘nosa nosa’ amenionyesha njia NA FESTO POLEA NAJUA unajua kwamba mshindi wa kwanza wa shindano la..