Ukawa wanusa jipu ofisi ya Makamu wa Rais

CAG

*Wamtaka CAG afanye ukaguzi maalumu upotevu wa sh bilioni 9 Na Elizabeth Hombo, Dodoma KAMBI Rasmi ya Upinzani Bungeni, imeibua ufisadi wa zaidi ya Sh bilioni tisa katika Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), More...

by france | Posted 3 hours ago

Balozi Mahiga amtetea Mkewe

Dk. Augustine Mahiga

Na Bakari Kimwanga, Dodoma WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Dk. Augustine Mahiga, amezungumzia sakata la mke wake kudaiwa kumtukana More...

Upinzani: Muungano Shakani

January Makamba

Na Waandishi Wetu, Dodoma KAMBI Rasmi ya Upinzani Bungeni, imesema inashiriki katika mjadala wa bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira ikiwa na moyo mzito kutokana More...

Mabomu, vilio vyarindima Kiwanda cha Urafiki

Askari wakiimarisha ulinzi katika geti la kuingilia katika Kiwanda cha nguo cha Urafiki, Ubungo jijini Dar es Salaam baada ya kutokea vurugu zilizosababishwa na wafanyakazi wanaodai malimbikizo ya mishahara yao.Picha na Jumanne Juma

Askari wakiimarisha ulinzi katika geti la kuingilia katika Kiwanda cha nguo cha Urafiki, Ubungo jijini Dar es Salaam baada ya kutokea vurugu zilizosababishwa na wafanyakazi wanaodai More...

20150810_182328

Hofu ya Ebola yatanda nchini

NA EDITHA KARLO, KIGOMA RAIA wa Burundi aliyetambulika kwa jina la Buchumi Joel (39), amefariki dunia baada ya kuugua ugonjwa wenye dalili sawa na Ebola, ikiwa ni pamoja na kutokwa More...

Lowassa atesa kanda ya Ziwa

Na Waandishi Wetu WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ameendelea kutesa katika mikoa ya Kanda ya Ziwa anakopita kutafuta wadhamini akitafuta kuteuliwa mgombea urais kupitia More...

Maalim Seif amkamia Dk. Shein

Seif_Sharif_Hamad

Na Kulwa Mzee, Zanzibar KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad ameiomba Jumuiya ya Kimataifa na More...

Dk. Shein aizika rasmi Serikali ya Umoja wa Kitaifa

shein

* Hamad Rashid, Amina Salum, Balozi Karume wateuliwa uwakilishi NA MWANDISHI WETU, ZANZIBAR RAIS wa Zanzibar na More...

dennis-Kitambi Kocha Azam alaumu wachezaji

NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM KOCHA msaidizi wa Azam FC, Denis Kitambi, amewatupia lawama washambuliaji...

yanga Yanga yasaka ushindi Shinyanga

NA ADAM MKWEPU, DAR ES SALAAM TIMU ya soka ya Yanga leo inakabiliwa na kibarua kigumu...

pep-guardiola Nani kutinga fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya wiki hii?

NA BADI MCHOMOLO KIPUTE cha michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya inatarajia kuendelea wiki hii...

Trump aanika sera zake za kigeni

Donald Trump

WASHINGTON, MAREKANI MGOMBEA urais wa Chama cha Republican nchini Marekani, Donald Trump, ametoa hotuba muhimu More...

Uswisi kuwalipa fidia waliokuwa watumwa

GENEVA, USWISI WANASIASA nchini Uswisi wamepitisha sheria ya kuwalipa fidia waliokuwa watoto waliotumikishwa kazi ngumu wajulikanao kama Verdingkinder. Chini ya sheria..

Umoja wa Mataifa wamsifu Machar kurudi nyumbani

NEW YORK, MAREKANI UMOJA wa Mataifa (UN) umesifu hatua ya kiongozi wa waasi nchini Sudan Kusini, Riek Machar kurudi nchini humo..

Upinzani: Muungano Shakani

January Makamba

Na Waandishi Wetu, Dodoma KAMBI Rasmi ya Upinzani Bungeni, imesema inashiriki katika mjadala wa bajeti ya Ofisi More...

Ukawa wanusa jipu ofisi ya Makamu wa Rais

*Wamtaka CAG afanye ukaguzi maalumu upotevu wa sh bilioni 9 Na Elizabeth Hombo, Dodoma KAMBI Rasmi ya Upinzani Bungeni, imeibua ufisadi wa..

Wapinzani walia na matangazo ya ‘Live’  

Na Elizabeth Hombo, Dodoma KAMBI ya Upinzani bungeni, imesema kitendo cha Serikali kusitisha matangazo ya moja kwa moja ya Bunge, kinazua..

TBS na mkakati wa kutokomeza vilainishi feki

Vilainishi Na Deus Mhagale, Dar es Salaam MATATIZO makubwa yanayochangia kudorora kwa uchumi nchini ni ukosefu wa uwajibikaji serikalini na katika mashirika..

CUF: Hatumtambui Dk. Shein Z’bar

024 Na Mwandishi Wetu, Zanzibar CHAMA cha Wananchi (CUF), kimetangaza kuwa hakimtambui Rais mteule wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, aliyetangazwa mshindi..
Suzane3

Mkonge: Kutoka alama ya mpaka hadi zao kuu la biashara

NA MAREGESI MAPUL, (OUT) DAR ES SALAAM KATIKA miaka ya hivi karibuni zao la mkonge limekuwa linavutia uwekezaji wa vitega uchumi..
Nick Gordon

Gordon: Uharibikaji mimba ulimtesa Kristina

NEW YORK, MAREKANI ALIYEKUWA mpenzi wa Kristina Brown, Nick Gordon, amedai kwamba uharibikaji wa mimba ulimtesa sana mpenzi wake wakati wa..
Suzane3

Mkonge: Kutoka alama ya mpaka hadi zao kuu la biashara

NA MAREGESI MAPUL, (OUT) DAR ES SALAAM KATIKA miaka ya hivi karibuni zao la mkonge limekuwa linavutia uwekezaji wa vitega uchumi..