Jk awavuruga vigogo CCM

mtanzaniadaily .indd

*Mwinyi, Mkapa, Malecela, Msekwa kujadili Na Mwandishi Wetu, Dodoma HALI si shwari ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kutokana na mchakato unaoendelea wa kumkabidhi Rais Dk. John Magufuli uenyekiti wa More...

by france | Posted 14 hours ago

Kansa ya macho tishio kwa watoto  

watoto

Na Veronica Romwald, Dar es Salaam WATOTO kati ya 100 hadi 150 kila mwaka nchini hufikishwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ili kupatiwa matibabu dhidi ya ugonjwa wa More...

Hukumu kesi ya Kafulila Mei 17

david-kafulila

Na Karume Malembeka, Kigoma MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Tabora inayosikiliza kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa Jimbo la Kigoma Kusini iliyofunguliwa na aliyekuwa More...

Dk. Migiro balozi mpya Uingereza

migiro

 Na Mwandishi Wetu, Dar Es salaam RAIS Dk John Magufuli amemteua Dk Asha-Rose Migiro kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza. Taarifa ya Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, More...

20150810_182328

Hofu ya Ebola yatanda nchini

NA EDITHA KARLO, KIGOMA RAIA wa Burundi aliyetambulika kwa jina la Buchumi Joel (39), amefariki dunia baada ya kuugua ugonjwa wenye dalili sawa na Ebola, ikiwa ni pamoja na kutokwa More...

Lowassa atesa kanda ya Ziwa

Na Waandishi Wetu WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ameendelea kutesa katika mikoa ya Kanda ya Ziwa anakopita kutafuta wadhamini akitafuta kuteuliwa mgombea urais kupitia More...

Maalim Seif amkamia Dk. Shein

Seif_Sharif_Hamad

Na Kulwa Mzee, Zanzibar KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad ameiomba Jumuiya ya Kimataifa na More...

Dk. Shein aizika rasmi Serikali ya Umoja wa Kitaifa

shein

* Hamad Rashid, Amina Salum, Balozi Karume wateuliwa uwakilishi NA MWANDISHI WETU, ZANZIBAR RAIS wa Zanzibar na More...

TWIGASTAA Muethiopia kuinoa Twiga Stars

NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM SHIRIKISHO la Soka nchini (TFF), linatarajia kumuaga kocha wa timu...

players Yanga waanza kuwasoma Esperanca

NA ADAM MKWEPU, DAR ES SALAAM WAWAKILISHI pekee wa Tanzania katika michuano ya kimataifa, Yanga, leo...

ABDI BANDA Mayanja amzuia Banda mazoezini

NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM KOCHA Mkuu wa Simba, Jackson Mayanja, amemzuia mazoezini beki wake,...

Rais wa zamani Burundi afariki dunia

bagaza

BRUSSELS, UBELGIJI MMOJA wa marais wa zamani wa Burundi, Kanali Jean-Baptiste Bagaza, amefariki dunia mjini More...

Trump aanika sera zake za kigeni

WASHINGTON, MAREKANI MGOMBEA urais wa Chama cha Republican nchini Marekani, Donald Trump, ametoa hotuba muhimu kuhusu sera zake za kigeni huku..

Uswisi kuwalipa fidia waliokuwa watumwa

GENEVA, USWISI WANASIASA nchini Uswisi wamepitisha sheria ya kuwalipa fidia waliokuwa watoto waliotumikishwa kazi ngumu wajulikanao kama Verdingkinder. Chini ya sheria..

Lugola ampliua Balozi Sefue

sefue

Na Bakari Kimwanga, Dodoma MBUNGE wa Mwibara, Kangi Lugola (CCM) amesema aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi More...

Upinzani: Muungano Shakani

Na Waandishi Wetu, Dodoma KAMBI Rasmi ya Upinzani Bungeni, imesema inashiriki katika mjadala wa bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais,..

Ukawa wanusa jipu ofisi ya Makamu wa Rais

*Wamtaka CAG afanye ukaguzi maalumu upotevu wa sh bilioni 9 Na Elizabeth Hombo, Dodoma KAMBI Rasmi ya Upinzani Bungeni, imeibua ufisadi wa..

CUF: Hatumtambui Dk. Shein Z’bar

024 Na Mwandishi Wetu, Zanzibar CHAMA cha Wananchi (CUF), kimetangaza kuwa hakimtambui Rais mteule wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, aliyetangazwa mshindi..
Dr-Harrison-Mwakyembe

Elimu ya  haki za binadamu bado inahitajika

JUMA  lililopita tulijadili suala la watoto na usalama wao kama lilivyojitokeza katika taarifa ya mwaka ya Haki za Binadamu inayotolewa na..
SHETA

Shetta atumia ndege, boti kwenye video mpya

NA GLORY MLAY VIDEO ya wimbo mpya wa ‘Namjua’ wa msanii wa muziki wa kizazi kipya, Nurdin Bilali ‘Baba Qayla’ au..
Dr-Harrison-Mwakyembe

Elimu ya  haki za binadamu bado inahitajika

JUMA  lililopita tulijadili suala la watoto na usalama wao kama lilivyojitokeza katika taarifa ya mwaka ya Haki za Binadamu inayotolewa na..