JK akana njama za kummaliza Mengi

ONE PK DATA Bericht

Na Fredy Azzah, Dar es Salaam RAIS Jakaya Kikwete ameshtushwa na taarifa za kuhusishwa na mikakati ya kummaliza Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Dk. Reginald Mengi. Kauli hiyo ya Rais Kikwete imekuja siku More...

by france | Posted 58 mins ago

Urais roho juu CCM, Ukawa

nape

Patricia Kimelemeta na Aziza Masoud, Dar es Salaam JOTO la kuwatangaza wagombea urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) pamoja na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi More...

JK akana njama za kummaliza Mengi

ONE PK DATA Bericht

Na Fredy Azzah, Dar es Salaam RAIS Jakaya Kikwete ameshtushwa na taarifa za kuhusishwa na mikakati ya kummaliza Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Dk. Reginald Mengi. Kauli hiyo More...

NHC yaongeza miradi ya bilioni 600/=

Nahemiah Mchechu

NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu, amesema shirika hilo limefanikiwa kuongeza miradi yake na kufikia Sh bilioni More...

Deo-Filikunjombe

Filikunjombe: Ziwa Nyasa lipo salama

Na Mwandishi Wetu, Ludewa MBUNGE wa Ludewa, Deo Filikunjombe (CCM), amewataka wananchi wanaoishi mwambao wa Ziwa Nyasa kufanya shughuli zao, kwani mazungumzo ya kutafuta amani More...

Mafutiko yatikisa Mwanza

Jiji la Mwanza BENJAMIN MASESE NA ABUBAKARI AKIDA, MWANZA MVUA kubwa inayoendelea kunyesha mkoani Mwanza, imesababisha maafa makubwa yakiwamo ya watu kukosa sehemu za kujihifadhi, More...

Mzee Moyo: Sijutii kufukuzwa CCM

hassan-nassor-moyo

Na Is-haka Omar, Zanzibar WAZIRI wa zamani wa Mambo ya Ndani mstaafu, Mzee Nassor Moyo, amesema hajutii kufukuzwa uanachama More...

Mzee Moyo afukuzwa CCM

hassan-nassor-moyo

NA SARAH MOSSI, ZANZIBAR CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimemfukuza uanachama mmoja wa waasisi wa chama hicho More...

yanga DAKIKA 90 ZA UBINGWA YANGA * yaikamia Polisi Moro leo.

ABDUCADO EMMANUEL NA THERESIA GASPER, DAR NI sherehe tu! Timu ya Yanga imepanga kufungua champagne endapo...

3B Yanga haikamatiki

NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM TIMU ya soka ya Yanga jana iliendeleza ubabe wake katika...

Yanga-vs-Etoile-du-Sahel Yanga yaweka mkakati

ABDUCADO EMMANUEL NA JENNIFER ULLEMBO, DAR WAWAKILISHI pekee wa Tanzania katika michuano ya kimataifa timu ya...

Pinda: Sheria ya takwimu imeridhiwa Afrika

Waziri-Mkuu-wa-Tanzania-Mizengo-Pinda1

NA JONAS MUSHI, DAR ES SALAAM WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema muswada wa sheria mpya ya takwimu umefuata makubaliano More...

Burundi hakukaliki

BUNJUMBURA, BURUNDI HALI ya amani nchini Burundi imechafuka huku ikiripotiwa kuwa raia mmoja ameuawa kwa kupigwa risasi na jeshi la polisi...

Mapigano Yemen yakatisha safari ya Rais Uhuru Kenyatta

NAIROBI, Kenya, NDEGE iliyokuwa imembeba Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, imelazimika kukatisha safari na kurejea nyumbani baada ya kuwapo hofu ya..

Silaha bandia za watoto marufuku Julai mwaka huu

Na Fredy Azzah, Dodoma IFIKAPO Julai Mosi mwaka huu endapo mwanao atabainika kuwa na silaha bandia (mwanasesere) More...

Spika amzuia Zitto kuachia ubunge

Na Fredy Azzah, Dodoma AZMA ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema), ya kujiuzulu ubunge imegonga mwamba baada ya kuelezwa..

Muswada wa ajira waligawa Bunge

Na Fredy Azzah, Dodoma MUSWADA wa Sheria ya Kazi na Ajira uliosomwa bungeni kwa mara ya pili jana na Waziri wa..

Sumatra yagoma kushusha nauli

IMG_8336 Na Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra), imesema haiwezi kupunguza nauli..

Makonda akana kuwakashfu Guninita, Msindai

MAKONDA NA KULWA MZEE, DAR ES SALAAM MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda, amekana kutoa maneno ya kashfa dhidi ya Mwenyekiti..
Kuanzia kushoto; Jonny Biggins, Steve Hanson na Jason Bramley walivaa mimba bandia kwa mwezi mmoja

Wanaume wabeba matumbo bandia kuonja uchungu wa kujifungua.

BAADA ya kuhangaika nayo tumboni kwa miezi tisa, hatimaye siku ya siku imefika kwa mtoto mtarajiwa kukaribia kuzaliwa. Baada ya kero,..
dimpoz2

Ommy Dimpoz: Narusha fedha, mikufu kuvutia mashabiki

NA RHOBI CHACHA MKALI wa wimbo wa ‘Wanjera’, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ amesema hurusha baadhi ya vitu vyake vikiwemo mikufu ya..
Kuanzia kushoto; Jonny Biggins, Steve Hanson na Jason Bramley walivaa mimba bandia kwa mwezi mmoja

Wanaume wabeba matumbo bandia kuonja uchungu wa kujifungua.

BAADA ya kuhangaika nayo tumboni kwa miezi tisa, hatimaye siku ya siku imefika kwa mtoto mtarajiwa kukaribia kuzaliwa. Baada ya kero,..