Ukawa wafunga kazi

Freeman Mbowe

NA SITTA TUMMA, NZEGA MWENYEKITI mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Freeman Mbowe, amesema tayari umoja huo umekwishamaliza kazi katika kupanga safu, kilichobaki ni kusubiri ushinda katika More...

by france | Posted 22 hours ago

Utafiti: Watanzania hawataki Serikali kuingilia vyombo vya habari

Elias Msuya, Dar es Salaam ASILIMIA 65 ya Watanzania wanapenda kuona vyombo vya habari vikichunguza ufisadi unaofanyika serikalini. Hayo yamo katika ripoti ya Afrobarometer ya More...

JK kuzindua kitabu cha muungano leo

Rais Jakaya Kikwete

Ruth Mnkeni na Veronica Romwald, Dar es Salaam RAIS Jakaya Kikwete, leo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa kitabu kinachoelezea historia ya miaka 50 ya Muungano More...

Samia: Kero tatu za muungano hazijatekelezwa

Bi.-Samia-Suluhu

Na Jonas Mushi na Tunu Nassor, Dar es Salaam. LICHA ya kutimiza miaka 51 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar, imeelezwa mambo matatu bado hayajatekelezwa ndani ya muungano. Mambo More...

Deo-Filikunjombe

Filikunjombe: Ziwa Nyasa lipo salama

Na Mwandishi Wetu, Ludewa MBUNGE wa Ludewa, Deo Filikunjombe (CCM), amewataka wananchi wanaoishi mwambao wa Ziwa Nyasa kufanya shughuli zao, kwani mazungumzo ya kutafuta amani More...

Mafutiko yatikisa Mwanza

Jiji la Mwanza BENJAMIN MASESE NA ABUBAKARI AKIDA, MWANZA MVUA kubwa inayoendelea kunyesha mkoani Mwanza, imesababisha maafa makubwa yakiwamo ya watu kukosa sehemu za kujihifadhi, More...

Mzee Moyo: Sijutii kufukuzwa CCM

hassan-nassor-moyo

Na Is-haka Omar, Zanzibar WAZIRI wa zamani wa Mambo ya Ndani mstaafu, Mzee Nassor Moyo, amesema hajutii kufukuzwa uanachama More...

Mzee Moyo afukuzwa CCM

hassan-nassor-moyo

NA SARAH MOSSI, ZANZIBAR CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimemfukuza uanachama mmoja wa waasisi wa chama hicho More...

Yanga-vs-Etoile-du-Sahel Yanga yaweka mkakati

ABDUCADO EMMANUEL NA JENNIFER ULLEMBO, DAR WAWAKILISHI pekee wa Tanzania katika michuano ya kimataifa timu ya...

ngassa Ngassa gumzo Etoile

NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM KOCHA wa timu ya Etoile Du Sahel, Benzarti Faouzi amempigia...

PIERRE KWIZERA Simba kumlipa Kwizera

NA SAADA SALIM, DAR ES SALAAM UONGOZI wa klabu ya Simba umeamua kumlipa aliyekuwa mchezaji wake,...

Watanzania 23 walijificha dukani Afrika Kusini

Patricia Kimelemeta na Grace Shitundu SERIKALI imesema Watanzania 23 wamenusurika kuuawa katika ghasia zinazoendelea More...

Vurugu Afrika Kusini zavuka mipaka

Durban, Afrika Kusini LICHA ya Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma kulaani vurugu zinazoendelea nchini humo dhidi ya wageni (xenophobia), vurugu..

Kikwete, Kenyata wamaliza mgogoro

NAIROBI, KENYA RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta na Rais Jakaya Kikwete wamekubaliana magari ya Tanzania yaruhusiwe kuingia Uwanja wa Ndege wa..

Silaha bandia za watoto marufuku Julai mwaka huu

Na Fredy Azzah, Dodoma IFIKAPO Julai Mosi mwaka huu endapo mwanao atabainika kuwa na silaha bandia (mwanasesere) More...

Spika amzuia Zitto kuachia ubunge

Na Fredy Azzah, Dodoma AZMA ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema), ya kujiuzulu ubunge imegonga mwamba baada ya kuelezwa..

Muswada wa ajira waligawa Bunge

Na Fredy Azzah, Dodoma MUSWADA wa Sheria ya Kazi na Ajira uliosomwa bungeni kwa mara ya pili jana na Waziri wa..

Sumatra yagoma kushusha nauli

IMG_8336 Na Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra), imesema haiwezi kupunguza nauli..

Afande Sele: Nitakataa posho na mishahara minono bungeni

afandeSele Na Festo Polea MWANA hip hop na Bongo Fleva nchini, Afande Sele, ameweka wazi kwamba hata kama atakuwa mwakilishi wa wananchi..
Kuanzia kushoto; Jonny Biggins, Steve Hanson na Jason Bramley walivaa mimba bandia kwa mwezi mmoja

Wanaume wabeba matumbo bandia kuonja uchungu wa kujifungua.

BAADA ya kuhangaika nayo tumboni kwa miezi tisa, hatimaye siku ya siku imefika kwa mtoto mtarajiwa kukaribia kuzaliwa. Baada ya kero,..
AT

AT na Kiguu na Njia

NA SHARIFA MMASI MKALI wa wimbo wa ‘Sijazoea’, Aly Ramadhani (AT) yupo mbioni kukamilisha wimbo wake mpya alioupachika jina la ‘Kiguu..
Kuanzia kushoto; Jonny Biggins, Steve Hanson na Jason Bramley walivaa mimba bandia kwa mwezi mmoja

Wanaume wabeba matumbo bandia kuonja uchungu wa kujifungua.

BAADA ya kuhangaika nayo tumboni kwa miezi tisa, hatimaye siku ya siku imefika kwa mtoto mtarajiwa kukaribia kuzaliwa. Baada ya kero,..