JPM ASHTUSHA

Na WAANDISHI WETU MSIMAMO wa Rais Dk.  John Magufuli kuzuia wanafunzi waliopata ujauzito kuendelea na masomo ndani ya utawala wake, umeibua mjadala mkali kwa baadhi na hata kuleta hisia za hasira kwa More...

by Mtanzania Digital | Posted 20 hours ago

TIC YATAKA MAENEO ZAIDI YA UWEKEZAJI MIKOANI

Na LEONARD MANG’OHA -DAR ES SALAAM MKURUGENZI Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Geoffrey Mwambe, amemtaka Kamishna wa Ardhi nchini kuhakikisha anapeleka hati za More...

MWIJAGE AANZA KUKAGUA VIWANDA VISIVYOENDELEZWA

Na AGATHA CHARLES WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Charles Mwijage, amesema yuko katika ziara ya ukaguzi kabla ya kutoa taarifa ya namna atakavyotekeleza agizo la Rais Dk. John More...

MWANASHERIA TBS CHUPUCHUPU KWENDA JELA

Na MANENO SELANYIKA -DAR ES SALAAM MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu Mwanasheria Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Baptister Marco (54), kwenda jela miaka More...

TISA MBARONI KWA KUVUNJA NYUMBA, WIZI

  Na JUDITH NYANGE, JESHI la Polisi Mkoa wa Mwanza linawashikilia watu tisa  kwa tuhuma za  kujihusisha  na uvunjaji wa  nyumba  na kuiba More...

MISUNGWI YATENGA MILIONI 240/- KUJENGA SEKONDARI

  Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Eliud Mwaiteleke   Na PETER FABIAN, HALMASHAURI ya Wilaya ya Misungwi, imetenga Sh milioni 240 kwa ajili ya kujenga sekondari More...

DK. SHEIN AWAFARIJI WALIOPATWA NA MAAFA PEMBA

NA SULEIMAN OMAR-PEMBA RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, amewatembelea More...

KIMBUNGA CHALETA MAAFA ZANZIBAR

Na MWANDISHI WETU-ZANZIBAR ZAIDI ya nyumba 70 zimeezuliwa mapaa kisiwani Unguja, Zanzibar baada ya kimbunga More...

YANGA YAKUBALI YAISHE KWA NIYONZIMA

Na THERESIA GASPER-DAR ES SALAAM UONGOZI wa klabu ya Yanga umempa mkono wa kwaheri aliyekuwa mchezaji...

TAIFA STARS YA COSAFA NA MALALAMIKO YA WATANZANIA

Na MWANDISHI WETU-DAR ES SALAAM BENCHI la ufundi la kikosi cha timu ya soka Taifa Tanzania...

TFF, BMT MSITUFIKISHE KWENYE MABADILIKO YA SIMBA, YANGA

Na ZAINAB IDDY JUMATATU ya wiki iliyopita Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka...

MAHAKAMA YARUHUSU KURA YA SIRI KUTOKUWA NA IMANI NA ZUMA

PRETORIA, AFRIKA KUSINI MAHAKAMA ya Juu zaidi nchini Afrika Kusini imeamuru kuwa kura ya kutokuwa na imani More...

IS WALIPUA MSIKITI WA KIHISTORIA IRAK

MOSUL, IRAK JESHI la Irak limethibitisha kuwa wanamgambo wajiitao Dola la Kiislamu (IS) wameulipua msikiti mkuu wa Al-Nuri uliopo mjini hapa...

MJI WA LUANDA NCHINI ANGOLA NDIO GHALI ZAIDI DUNIANI

Mji mkuu wa Angola, Luanda, umechukua nafasi ya kwanza kama mji ghali zaidi duniani kwa wataalamu na kuusukuma mji wa Hong..

WAZIRI: VIFAA KUPIMA UKIMWI KUWEKWA MADUKA BINAFSI

NA RAMADHANI HASSAN, SERIKALI imesema inafanya majaribio ya kuweka vifaa vya kupimia Ukimwi katika maduka ya More...

MASHUJAA NYUMA YA VITA ESCROW

Na ELIZABETH HOMBO-DAR ES SALAAM HAWA ndio vinara wa kupinga malipo ya zaidi ya Sh bilioni 300 zilizolipwa kwa Kampuni ya..

WENYE URAIA WA NCHI MBILI KUNY’ANG’ANYWA ARDHI

NA KULWA MZEE-DODOMA SERIKALI imetangaza kuwanyang’anya  umiliki wa ardhi watu wenye uraia wa nchi mbili na imeondoa tozo kubwa ya asilimia 67..

BAVICHA YALAANI KUKAMATWA MEYA UBUNGO

Na ASHA BANI-DAR ES SALAAM BARAZA la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha),  limelaani hatua ya wakuu wa wilaya..

USILOLIJUA KUHUSU WANYAMA: TEMBO HULA KILO 150 ZA MAJANI

TEMBO HULA KILO 150 ZA MAJANI TEMBO ni mnyama aishie mbugani, ndiye mnyama mkubwa kuliko wanyama wote katika uso wa dunia...

UNAMWOMBAJE MPENZI WAKO MSAMAHA?

KUKOSEA katika maisha ya binadamu ni kawaida. Ni sehemu ya maisha yake. Tena inaaminika kwamba, kukosea ni kujifunza, maana kosa utakalofanya..

USILOLIJUA KUHUSU WANYAMA: TEMBO HULA KILO 150 ZA MAJANI

TEMBO HULA KILO 150 ZA MAJANI TEMBO ni mnyama aishie mbugani, ndiye mnyama mkubwa kuliko wanyama wote katika uso wa dunia...

Polls

How Is My Site?

View Results

Loading ... Loading ...

Translate »