CHENGE, WEREMA WAJIVUA LAWAMA

Na WAANDISHI WETU – DAR, DODOMA WAKATI baadhi ya watu wa kada mbalimbali, wakiwamo wataalamu wa sheria wakisema mikataba mibovu katika sekta ya madini ni kiini cha serikali kupoteza mabilioni More...

by Mtanzania Digital | Posted 1 hour ago

ACACIA WATAKA UCHUNGUZI HURU MCHANGA WA DHAHABU

Na MWANDISHI WETU KAMPUNI ya Acacia imesema ripoti kuhusu mchanga wa dhahabu aliyopewa Rais John Magufuli Jumatano ya wiki hii imejaa upotoshaji wa hali ya juu na imependekeza More...

SERIKALI: WANAJESHI HAWANA HAKI YA KUTESA RAIA

SERIKALI imesema hakuna sheria yoyote inayowapa haki wanajeshi kutesa raia au kuvunja sheria. Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Mwinyi, alitoa More...

LUKUVI ATANGAZA KITANZI KWA MADALALI WA ARDHI

Na MAREGESI PAUL-DODOMA WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, amesema Serikali inatarajia kuandaa sheria itakayowabana madalali katika sekta More...

TISA MBARONI KWA KUVUNJA NYUMBA, WIZI

  Na JUDITH NYANGE, JESHI la Polisi Mkoa wa Mwanza linawashikilia watu tisa  kwa tuhuma za  kujihusisha  na uvunjaji wa  nyumba  na kuiba More...

MISUNGWI YATENGA MILIONI 240/- KUJENGA SEKONDARI

  Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Eliud Mwaiteleke   Na PETER FABIAN, HALMASHAURI ya Wilaya ya Misungwi, imetenga Sh milioni 240 kwa ajili ya kujenga sekondari More...

DK. SHEIN AWAFARIJI WALIOPATWA NA MAAFA PEMBA

NA SULEIMAN OMAR-PEMBA RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, amewatembelea More...

KIMBUNGA CHALETA MAAFA ZANZIBAR

Na MWANDISHI WETU-ZANZIBAR ZAIDI ya nyumba 70 zimeezuliwa mapaa kisiwani Unguja, Zanzibar baada ya kimbunga More...

SERENGETI BOYS KARATA MUHIMU GABON

Na ZAINAB IDDY-DAR ES SALAAM TIMU ya taifa ya vijana walio chini ya miaka 17, Serengeti...

MBAO YATIA DOA UBINGWA YANGA

  MWANDISHI WETU- MWANZA na ZAINAB IDDY-DAR ES SALAAM TIMU ya Yanga ilikabidhiwa rasmi ubingwa wa...

WALICHOPANDA NDICHO WALICHOVUNA VPL 2016/17

Na ZAINAB IDDY, DAR ES SALAAM LIGI Kuu Tanzania Bara msimu wa 2016/17 unatia nanga Jumamosi...

‘UHURU WA PALESTINA NI UFUNGUO WA AMANI MASHARIKI YA KATI’

BETHLEHEM, UKINGO WA MAGHARIBI RAIS Mahmud Abbas wa Palestina amesema kupatikana kwa uhuru wa taifa More...

UINGEREZA YAKASIRISHWA MAREKANI KUVUJISHA SIRI

LONDON, UINGEREZA POLISI wa Uingereza wamesitisha kubadilishana taarifa za siri na Marekani zinazohusu shambulio la bomu la kujitoa mhanga mjini Manchester...

MSHAURI WA RAIS AWAPONDA UHURU, RAILA

NAIROBI, KENYA MSHAURI wa Rais Uhuru Kenyatta na waziri wa zamani wa vyama vya ushirika, Joseph Nyagah, amejitosa rasmi katika kinyang’anyiro..

KILIMO CHAWATIA HOFU WABUNGE

    Na MAREGESI PAUL-DODOMA BAADHI ya wabunge wameonyesha hofu juu ya ukuaji wa sekta More...

MDEE AWATIBUA WABUNGE CCM

  Na MAREGESI PAUL -DODOMA MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee (Chadema), amewatibua wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya kuwashangaa..

NAPE,KITWANGA WAGEUKA

Na Mwandishi Wetu, MAWAZIRI wa zamani, Nape Nnauye na Charles Kitwanga, wamegeuka kuwa mwiba kwa kutoa hoja za kukosoa utendaji wa..

UCHAGUZI MKUU KENYA 2017: NI KENYATTA AU RAILA ODINGA

Na Dorine Otinga, Nairobi IMESALIA miezi miwili kabla ya kufanyika Uchaguzi Mkuu wa wawakilishi wa mitaa, magavana, seneta wa kaunti, wabunge..

MARS ILIKUWA NA UWEZO WA KUHIFADHI VIUMBE HAI

Na JUSTIN DAMIAN MIAKA bilioni kadhaa iliyopita, sayari ya Mars ilikuwa ni sehemu nzuri ambayo viumbe hai wangeweza kuishi kutokana na..

DAVIDO ASHINDWA KULIPA ADA YA MWANAFUNZI

LAGOS, NIGERIA NYOTA wa muziki nchini Nigeria, David Adeleke, ‘Davido’, amewashangaza mashabiki wake kwa kushindwa kumlipia mwanafunzi ada ya shule aliyoihitaji...

MARS ILIKUWA NA UWEZO WA KUHIFADHI VIUMBE HAI

Na JUSTIN DAMIAN MIAKA bilioni kadhaa iliyopita, sayari ya Mars ilikuwa ni sehemu nzuri ambayo viumbe hai wangeweza kuishi kutokana na..

Polls

How Is My Site?

View Results

Loading ... Loading ...